TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 936
Kimsingi Lowassa sio mtu wa maneno mengi. Maneno machache matendo mengi yenye ukamilifu! Lakini jambo hili wengi hawafahamu vema, nakiri kuna wanaofahamu!
Ni hivi kutokana na watu kujaa kwenye mikutano ya Lowassa, yeye kwa busara zake mwenyewe, kwa hekima zake mwenyewe na pamoja na viongozi wa chama na wanachama Lowassa ameshauriwa kuongea kwa muda mchache sana iwezekanvyo ili kuwanusuru wananchi waliobanana kwenye mikutano yake jambo ambalo hupelekea wakose hewa na hatimaye kukosa fahamu!
Hili lipo nyuma ya pazia, lakini nimeona sio vibaya na watanzania wengine wakapata kufahamu hili!