Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

barafu nimependa the way ulivyo tiririka na mada yako.wallah nimejikuta nacheka.jf raha sana.
 
Last edited by a moderator:
barafu nimependa the way ulivyo tiririka na mada yako.wallah nimejikuta nacheka.jf raha sana.

nimecheka sana,,,anavyouelezea mwambao,,,anapoitaja dodoma,kisha unageuzia mnadan,kisha anataj nywele zinavyochoma,,,,
ila sasa why ukafate kusingwa,,,,kwa sababu mwili wa kiume na wa kike vikigusana tu,mwishowe huwa si mzuri
 
Last edited by a moderator:
why can't you investigate on your own?

Mkuu,niliingia kazini kuchunguza hii kitu kwa kufanyiwa massage sehemu zaidi ya sita,tena ni zile ambazo nilikuwa nazitilia shaka...lakini kusema ukweli sikukutana na haya mambo.

By the way nahisi mleta mada aliingia kwenye danguro na siyo sehemu ya Beauty clinic.
Sikatai kuwa haya mambo yapo ndani ya bongo ila napenda tuongee kwa fact,uhalisia,na ushahidi na siyo hisia.
 
Afu wewe nakufananisha na General Aladdin wa the dictator

hehehe kama unamjua huyo basi umetisha sana mwanawane,nakumbuka kipande chake yupo kwenye ndege anakwamba i am nota arabiaan i am from u.S.a hahahah alafu lafudhi ya kiarabu tupu
 
Pale makumbusho mi nikiingie sitaki cha massage wala nini ni mbunye mwanzo mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom