Nyuma ya Pazia katika Massage Parlour

Makumbusho ni pale njia kuingilia daladala zinazotoka mwenge utaona kibao kimeandikwa soft touch gonga geti watakufulia
 
Madam Kasie pitia na huku uone majanga ya sie
Inabidi sasa mimi na wewe tukutane ili tufanyiane massage kupeana mauzoefu,tuone nani atazidiwa!!Maana nshakuwa mtaalamu

Hahahahahaa acha ukorofi, mie ndo nimetoka kusingwa sina hata wiki, ngoja ipite walau miezi kadhaa maana hii huduma sio ya kufanyiwa Mara kwa mara, mwili ukiwa sugu hisia hupotea.

Maadam wakati na nia ipo, basi shaka ondoa imebaki utekelezaji tuu.
 
Huyu msimuliaji ni Wa kiwango cha lami ni kama stories nzuuri ya kuoendeza ililotungwa na watunz mahir kama akina faki m faki au husein tuwa lakini ninkwelibkatika maisha halisi juu ya lile lililomtokea asante kwa taarifa
 
Hahahahahaa acha ukorofi, mie ndo nimetoka kusingwa sina hata wiki, ngoja ipite walau miezi kadhaa maana hii huduma sio ya kufanyiwa Mara kwa mara, mwili ukiwa sugu hisia hupotea.

Maadam wakati na nia ipo, basi shaka ondoa imebaki utekelezaji tuu.
Naaaaaaaaaam!!hapa kilichobaki tu ni mie kuandaa massage mint na massage powder nikufanyie mambo vizuri
 
Hahahahahaaa haya poa nami najiandaa kufanyiwa mambo mzuri na barafu, natumai hautayeyuka....;)
 
Hahahahahhahaaa mie tena heheheee usihofuu, kama tabasamu langu lilivyo daima dumu ndivyo na utamu na hamu kwangu haviishi ni daima dumu..... bibi nyegez ndo Kasie :p
Asalalaaaleeee!!!Leo mzee mzima nimekutana na mtoto ng'aring'ari!!
Hainilazimu kubonga sana...Ni kuvuta mkono tu na kuingia kusinga mpaka "Happy Ending"
 
Hahahahahahaaa acha fujo barafu watakuwashia jua uyeyuke heheheheee
 
Ha ha na ha ha bahati nzuri au mbaya,huyu barafu wa Jf "melting point" yake ni 50'C...Sasa sijui jua gani hilo,maana hata lile la Darful kule South Sudan haliambulii
 
Hhahahahaa haya shauri yako, wanakusoma ujue. Poa siku njema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom