Nyota yangu imechafuka

Mmh mkuu apa changa kabisa isije ikawa zamu yako ya kulipia bili ya umeme imefika ndio unataka jamaa akutoe.If is true sema tutakusaidia
Pole sana. Jina lako na pepo za bahari za kusi zinaenda halijojo. Uje na majogoo ya kienyeji 2, vitunguu saumu nusu kg, tangawizi kg 1 na mkaa gunia. Hii ni kwa ajili ya kurudisha nyota ya nyumba ndogo.
Kuhusu my wifw wako, ukete mbuzi anetembea mweusi (awe kanona mafuta ndo yanatengeneza dawa), nakutumia namba ya luku ununue umeme wa 50,000/= tu ili mapenzi yarudi kwa mnunurisho.
 
Kicheko. Kusafisha nyota ongea na mkeo na umwambie kwamba ulikuwa na nyumba ndogo na ss umebwaga na utatulia nyumani km kuku wa kizungu.
 
Nyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.
Nyumbani waifu kanichunia, na kitumbua hajanipa wiki ya tatu now.
Nyumba ndogo na kwenyewe nimepigwa chini, yaani demu hataki hata kuiona nikimpigia.
Kuna dada mitaa ya kijitonyama nimemtongoza, eti anataka nimlipie kodi ya nyumba ya miaka mitano ndio anikubali.
Wataalam wa kutengeneza nyota mnatakiwa kwa ajili ya advice

Tena huyo kakosea.....wengine siku hizi wanataka kujengewa kabisa lol!.....wahi ukamlipie manake amekuhurumia!
 
Nyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.Nyumbani waifu kanichunia, na kitumbua hajanipa wiki ya tatu now. Nyumba ndogo na kwenyewe nimepigwa chini, yaani demu hataki hata kuiona nikimpigia.Kuna dada mitaa ya kijitonyama nimemtongoza, eti anataka nimlipie kodi ya nyumba ya miaka mitano ndio anikubali.Wataalam wa kutengeneza nyota mnatakiwa kwa ajili ya advice
nitampitia waifu wako nione kama hata kwangu nyota itakuwa imechafuka, pengine iliyochafuka si ya kwako ni ya kwake huwezi jua bwana.....nitakupa jibu baada ya wiki.
 
Piga chini wote, waifu na nyumba ndogo zote.

wewe haupo kwenye hi DUNIA mungu anakuepusha na matatizo ww ndio waitaji mawazo ili upate matatizo je waelewa kweli tulia kwanza kama mwaka 1 bila hizo pilika then utaona hayo yote yatakuja polepole tena zaidi ya hayo unayo yatafuta pole sana
 
piga hapa
images
 
Duh! Watu ni wataalamu humu! zingatia unayoambiwa pengine nyota itarudi kweli

Mbona hiyo kitu rahisi sana:-
Unatakiwa uniletee machozi ya samaki. Nywele za mjukuu wako, mtoto wa kiume wa mtoto wako wa kike ambaye haujamzaa. Mimi ninakaa gongolamboto unatakiwa usitumie usafiri wowote unapokuja.
Kwakuwa wewe nyota yako ni ya fisi nitahitaji mkojo wa fisi mjamzito.

Bila kusahau leo usilale kitandani lala kwenye sakafu ili uweze kufufua roho za babu yake na mjomba wake shangazi wa kaka yake na bibi yako maana ndio inayobeba nyota yako ya mapenzi.
Fanya hivyo fasta!!
 
Mtafute Yesu Kristo awe mwanga na muangalizi wa maisha yako achana na habai za shetani.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom