Nyota yako leo Jumapili juni 22/2025

Nyota yako leo Jumapili juni 22/2025

Zamani kabla sijaamka nilikuwa na mawazo ya wengi kwamba elimu ya nyota ni ushirikina,but baada ya kuingia deep nikagundua ni fikra hasi na ukosefu wa maarifa kwa wengi.
Ushirikina ni matumizi mabaya ya nguvu za asili ili kudhuru,kama ukitumia nguvu za asili kwa ajili ya matendo ya nuru sio ushirikina.
Mambo ya sijui nyota , sijui peta za bahati naona mkiwaokota wajinga na vilaza wanaopenda mserereko , Taifa lina wapumbavu wengi kweli🤔
 
Kabla nilikuwa sijui kwamba kumbe kila mtu ana namba yake ya kiroho ndio imebeba kila kitu kuhusu yeye hadi mwisho wa maisha yke apite wapi akwepe vipi vizuizi thus Pana watu maisha kwao ni mserereko unakuta mtu kazaa watoto tisa na wote wamenyooka tu Wana KAZI za maana, wengine biashara, wengine nje ya nchi wengine ni wasomi wakubwa.
Nyota ndio mwongozo wa maisha ukiufata apa Dunian hutoteseka kwamwe
 
Nyota ndio mwongozo wa maisha ukiufata apa Dunian hutoteseka kwamwe
Baada ya kupitia misukosuko mingi sana kila idara yaani mahusiano, uchumi,nk ikiwemo kupata hasara zaidi ya milioni 350 kwa uwekezaji mbalimbali zaidi ya 16 kwa miaka 18 ya upambanaji.
Nikajikuta nimeibukia kwenye safari ya kuamka na kutoka kwenye giza ndipo nikapata kujua mengi sana kuhusu haya maisha zikiwemo siri mbalimbali.
Na wapi nilipokosea kumbe nilikuwa napita njia isiyo sahihi.
Baada ya kuamua kurudi kwenye chanzo halisi ndipo nilipoipata njia,kwa sasa natembea kwenye Nuru najua niendako
 
Mambo ya sijui nyota , sijui peta za bahati naona mkiwaokota wajinga na vilaza wanaopenda mserereko , Taifa lina wapumbavu wengi kweli🤔
Sio kwa maana hio unayoijua wewe, nyota sijui pete sijui mganga, sijui maombezi nk havina uwezo wa kukupa utajiri au mwelekeo wa maisha.
Nyota ni kama ramani na sio ramani pia.
Kufanikiwa ni mkusanyiko wa elimu nyingi.
 
Hakuna cha ramani chapa kazi Tanzania bado fursa zipo bwashee
 
Baada ya kupitia misukosuko mingi sana kila idara yaani mahusiano, uchumi,nk ikiwemo kupata hasara zaidi ya milioni 350 kwa uwekezaji mbalimbali zaidi ya 16 kwa miaka 18 ya upambanaji.
Nikajikuta nimeibukia kwenye safari ya kuamka na kutoka kwenye giza ndipo nikapata kujua mengi sana kuhusu haya maisha zikiwemo siri mbalimbali.
Na wapi nilipokosea kumbe nilikuwa napita njia isiyo sahihi.
Baada ya kuamua kurudi kwenye chanzo halisi ndipo nilipoipata njia,kwa sasa natembea kwenye Nuru najua niendako
Hongera mkuu kwa kuamka na kufunguka kifrika
 
Sio kwa maana hio unayoijua wewe, nyota sijui pete sijui mganga, sijui maombezi nk havina uwezo wa kukupa utajiri au mwelekeo wa maisha.
Nyota ni kama ramani na sio ramani pia.
Kufanikiwa ni mkusanyiko wa elimu nyingi.
Mwelekeze mana mda wote anaendekeza ujinga tu
 
ANGALIA KAZI INAYOKUFAA KULINGANA NA NYOTA YAKO:

Dr dogoli kinyamkela 💀☠️

Kila Nyota ina kazi zake ambazo unatakiwa uzifanye ili uweze kupata mafanikio ukifanya Kazi ambazo sio za Nyota yako huwezi kupata mafanikio hebu angalia kazi inayokufaa kwa Nyota yako.

1.NYOTA YA PUNDA (Aries ♈):
•Kazi za Jeshi, Kazi za Uokoaji, Michezo, Uuzaji, Upasuaji, Kufundisha (Ualimu), Masuala ya Fedha.

2.NYOTA YA NG’OMBE (Taurus ♉):
•Kazi za Muziki, Kazi zinazohusiana na chakula (Hoteli), Ujenzi, Kazi za Mashamba, Uhasibu, Sanaa (Uchoraji na Uchongaji).

3. NYOTA YA MAPACHA (Gemini ♊):
•Kazi za Utangazaji, Uchapishaji, Ualimu, Ushauri, Ufasiri, Biashara ya Kusafiri.

4. NYOTA YA KAA (Cancer ♋):
•Kazi za Madawa, Kazi za Baharini, Kazi za Upishi, Kazi za Kuhudumia Watoto, Kazi za Benki, Kazi za Usimamizi (Foreman), Kazi za Uandishi.

5. NYOTA YA SIMBA ( Leo ♌):
•Kazi za Usimamizi, Michezo, Kazi za Usonara, Mwanamitindo, Kucheza Sinema, Kazi zinazohusiana na Masuala ya Vijana, Ualimu.

6. NYOTA YA MASHUKE (Virgo♍):
•Kazi za Uchapishaji, Uongozi, Elimu, Afya, Biashara, Ukatibu Mukhtasi (Secretary).

7. NYOTA YA MIZANI (Libra ♎):
•Kazi za Uhusiano wa Jamii, Ushauri wa Ndoa, Biashara ya Sanaa, Ushauri wa Mambo ya Urembo, Uanasheria, Uhakimu.

8.NYOTA YA NGE (Scorpio ♏):
•Kazi za Madawa, Kazi za Upelelezi, Wachunguzi (Researcher), Mafundi Bomba, Kazi za Historia inayohusiana na Mabaki ya Viumbe (Archeology), Ushauri wa Mambo ya Ngono (Sex Therapy).

9 .NYOTA YA MSHALE (Sagittarius ♐):
•Kazi za Kusafiri, Kazi za Sheria, Uandishi, Ualimu, Dini, Michezo, Jeshi, Uuzaji.

10. NYOTA YA MBUZI ( Capricorn ♑):
•Kazi za Uinjinia, Uchoraji wa Ramani za Majumba, Saveya, Kazi za Serikali, Siasa na Udaktari wa Meno.

11. NYOTA YA NDOO (Aquarius) ♒:
•Kazi za Fundi Umeme, Computer, Uchunguzi wa Kisayansi, Kazi za Jamii, Kazi za Unajimu, Kazi za Mazingira.

12. NYOTA YA SAMAKI (Pisces) :
•Kazi za Unesi, Muziki, Dansi, Uigizaji, Askari wa Majini, Kazi za Kidini, Kupiga Chapa, Kazi za kutoa Ushauri..

Bonyeza hapa kujiunga kwenye group Au njoo inbox kujua nyota yako

Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr dogoli kinyamkela 💀☠️ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
 
Tupe ripoti hii ajali imekuaje uko mbeya imetokea mda sio mrefu

MENEMENE TEKERI NA PERESI
1750604461368.jpg
1750604459314.jpg
1750604450442.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom