Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,606
- 4,525
- Thread starter
- #21
Siku yyte natimba uko kaka mchawiSawa sawa dogoli lini mbeya kaka nikuoneshe machimbo ya bata
Siku yyte natimba uko kaka mchawiSawa sawa dogoli lini mbeya kaka nikuoneshe machimbo ya bata
Utanistua kaka uwahi mapema kabla mwezi wa saba haujaisha maana sasa hivi huku ni mavuno ,ninapata hela za bure kwa wakulima kwa kuwatafsilia habari za kingereza wanakijiji ili usije fika kipindi sina hela ukaishi kinyonge kakaSiku yyte natimba uko kaka mchawi
Sawa Mkuu nakupataKutafuta mganga wa jadi au mtaalamu wa tiba za asili
Mganga wa kweli anaweza kufanya tambiko (sadaka, matoleo) kwa mizimu ili kutuliza roho zinazomsumbua.
Anaweza kutumia dawa za asili (miti shamba, mafusho, maji ya dawa).
Kufanya matambiko ya kupatanisha na mizimu
Wazee wa ukoo au wanandugu hufanya sherehe ndogo kwa mizimu kama chanzo ni roho za mababu waliokasirika.
3️ Kufukiza na kunyunyizia maji yenye dawa
Mafusho ya miti maalum.
Ukiitaj msaada zaidi kalibu🙏🏽
Tupo pamoja 🙏🏽Sawa Mkuu nakupata
Wewe umejuaje kama izo picha n za ujinini?Hio picha lazima itishe watu na kuonekana nyota ni ushirikina.
Kwann usiweke profile rafiki kwa mazingira na sio hizo za ujinini
Ebu kwanza pm unipe za soda mkuu😂😂Utanistua kaka uwahi mapema kabla mwezi wa saba haujaisha maana sasa hivi huku ni mavuno ,ninapata hela za bure kwa wakulima kwa kuwatafsilia habari za kingereza wanakijiji ili usije fika kipindi sina hela ukaishi kinyonge kaka
Subiri mchana mchana maana nilizinywa zote jana ila baadaye mishale ya saa tisa nitakuwa kilabuni kutafsiri vita ya iran na marekani walivyodundana baada ya hapo nitakuwa mnene lazima nikukumbuke kakaEbu kwanza pm unipe za soda mkuu😂😂
😂😂😂😂Pamoja mkuuSubiri mchana mchana maana nilizinywa zote jana ila baadaye mishale ya saa tisa nitakuwa kilabuni kutafsiri vita ya iran na marekani walivyodundana baada ya hapo nitakuwa mnene lazima nikukumbuke kaka
Nn Tena 😂Jamani Aviolaaaa 😗
Kwa tafsiri ya jamii,Wewe umejuaje kama izo picha n za ujinini?
Tuanzie apo kwanza 😂🤷🏽♂️
Nimeshatupia ya kifalme na asili ikiwa moto na uoto wa kijan,hii umeionaje🤷🏽♂️Kwa tafsiri ya jamii,Hat
Weka hata picha ya nyumba za asili au misitu au ni sigil yako hio.
Mwananuru
Umemanisha nn apaMwananuru
Imekaa poa kwa wote upande wa kulia na WA kushoto pia.Nimeshatupia ya kifalme na asili ikiwa moto na uoto wa kijan,hii umeionaje🤷🏽♂️
Apo goodImekaa poa kwa wote upande wa kulia na WA kushoto pia.
Yeah asili n kama kisu tu ,ukitumia vyema utakata mboga utapika utakula utashiba ukikitumia vibaya utaishia kwenda jela nkZamani kabla sijaamka nilikuwa na mawazo ya wengi kwamba elimu ya nyota ni ushirikina,but baada ya kuingia deep nikagundua ni fikra hasi na ukosefu wa maarifa kwa wengi.
Ushirikina ni matumizi mabaya ya nguvu za asili ili kudhuru,kama ukitumia nguvu za asili kwa ajili ya matendo ya nuru sio ushirikina.