Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 22/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Utafutaji wako wa pesa ambao ulikwama utafaulu Pamoja na kwamba umekuwa katika hali mbaya sana kimawazo na kifikra hasa kuhusiana na familia yako jitahidi uwe na mawazo chanya na utaona faida yake.
•Utapata maudhi makubwa leo na siku yako itakuwa nzito pia haja zako leo itakuwa ngumu kutimia.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Huu ndio hasa muda wa wewe kubadili kazi au jambo unalolifanya kwa sababu unatumika bure na hakuna faida unayipata fanya juu chini ukamilishe mambo yako muhimu mapema iwezekanavyo.
•Safari zako sio nzuri utapoteza kitu muhimu ila utafika salama na kurudi salama.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Leo tumia akili inaonekana usipokuwa makini kunaweza kukazuka ubishini mkali sana kati yako na mtu wako wa karibu jaribu kujiepusha na hayo magomvi.
•Mahusiano yako yatakuwa na kutokuelewana ila yote yanapita.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Leo Jiepushe na maamuzi yoyote unayotarajia kuyafanya unaweza kujikuta ukiamua mambo hovyo na kupelekea kuharibika kwa mipango yako kuwa muangalifu sana.
•Utapata bahati nzuri na habari nzuri nyingi zitakufikia leo.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Jumapili ya leo ni njema na nzuri kwako Biashara au kazi utakayoifanya ikakusukuma mbele au kupata mafanikio Hali hii ya mafanikio na kufaulu isikufanye ulegeze juhudi zako ulizoanza nazo mwanzoni mwa wiki hii.
•Utapata heshima na nguvu kubwa ya watu kukusikiliza.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Siku ya leo Masuala ya pesa yasikuletee khofu kwako shughuli ambazo umezipanga zifanikiwa hakuna hitilafu yoyote ila rekebisha mambo machache na utaona mafanikio makubwa.
•Safari zako ni nzuri tegemea kheri ndani yake.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Hii ni jumapili njema sana kwako ila unahitajika kuwa mnyenyekevu kwa kila kitu na kila mtu watu walio karibu na wewe wanakuhitaji sana jaribu kujikurubisha kwao ili kuondokana na mikosi na mabalaa.
•Mahusiano yako yatajaa neema na utulivu pia kuna kitu kizuri mno kitakutokea ndani yake.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Kwa hakika Leo itakuwa ni siku nzuri murua kushughulikia mambo ambayo yana manufaa kwako mwenyewe na jamii nzima inayokuzunguka leo utapata marafiki wapya.
•Kazi zako zitakuwa nzito kwa kila kitu na watu watakuudhi kwenye shughuli zako leo vumilia yanapita.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Jitahidi kuyashughulikia na mambo ambayo yanakukabili hasa kwa wakati huu bila ya kuanzisha mambo mapya hili litakuwa jambo la busara zaidi kwako na kwa wanaokutegemea.
•Mahusiano yako pia yatakuwa na usaliti wa wazi hivyo usijiamini sana hakuna kheri katika mahusiano mapya leo yatakufa ghafla.
Safari zako leo sio nzuri.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Siku ya leo itakuwa nyepesi sana kwako mambo nayo yatakuwa mepesi ila jiepushe na magomvi hasa yanayohusiana na masuala ya kimapenzi Mambo yako yatakamilika na kukuacha ukiwa na furaha.
•Utapata matumaini makubwa na mazuri kwenye mambo yako yote kwa ujumla na utafarijika kwa mengi.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Siku ya leo ni nzuri na tumia muda mwingi katika kupanga mambo yako kwa sababu ukifanya mambo kwa haraka na pupa unaweza kujiletea matatizo au ukaijiingiza katika balaa kubwa hapo baadae.
•Tegemea kufunguka zaidi biashara zako na kazi zako zitaenda vizuri.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Leo siyo siku njema sana kuwa kuwa na tahadhari inaonekana utakabiliwa na upinzani mkubwa katika mambo yako hakikisha kwamba umejikinga na jambo lolote kabla hujapata matatizo vinginevyo maisha yako yatakuwa mtegoni.
•Mahusiano yako yatakuwa na utulivu na amani itatawala katika nyumba yako.
Safari zako ni nzuri.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ 🌳🌱 MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.