Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Naomba nifafanulie nyota ya MBUZI
|
Naomba nifafanulie nyota ya MBUZI
|
Ase uko kama mimi sipendi kabisa hadi Kuna najilazimisha kukaa na watu ila napenda sana kukaa mwenyeweMziziMkavu mkuu hapo kwenye cancer number 9 kama kuna kijikosa.
Aquarius tuko na matatizo gani? Yan najiona mie nina tatizo la kutopenda kuchanganyikana na watu, napenda kukaa mwenyewe tu na kama ni nyumbani basi nitulie na family mates sio mambo za majirani nk ( kama kuna zile shughuli za kkijamii za ulazima hapo naweza changamana nao otherwise naonaga tabu sana.
Siku ya bahati ya nyota yake ni siku ya jumamosi.Mkuu asante sana hiv wanavosema siku ya bahati ni JUMAMOS wanamaanisha nn?