Mbona tunahonga afu umaskini ndo unatamalaki au tunakosea wapi?
Hivi hii elimu asili yake ni wapi ?Watabiri wa nyota wanazingua tu hawa
Aisee! Wale wa nyota ya Libra (wanawake kwa waume) mkuje hapa 🤣🤣🤣 Mshana Jr ana ujumbe wenu.🏃♂️🏃♂️🏃♂️...LiBRA View attachment 1199494September 23 hadi October 22... Honga sana kipindi hicho
Tangu nianze kumpa HELA ananipa mahaba motomoto
Tangu nianze kumpa HELA ananipa mahaba motomoto
Wanaume Tuwape Hela hawa dada zetu hakuna kisichowezekana jaman, kwann nasema hivi kuna demu bhana huwa nakukutana nae nakula for free inshort pesa yangu alikuwa haigusi. Last week nilikua nae maeneo bhas nikawaza hyu dada kila nikimuhitaj hata iwe sa8 usik huwa anakuja ananipa utamu sasa wacha...www.jamiiforums.com
Mdau apa naona anafukuzia ghorofa
Sasa wewe una buku halafu unahonga 900, Kwa nini usifilisile?Mbona tunahonga afu umaskini ndo unatamalaki au tunakosea wapi?
Kuna uzi kuleee ngoja nikakuite my ila ndo najibembeleza kwako mpaka ntachoka dah......😂😂😂😂😂