INAUZWA Tunauza mizani ya kisasa ya kupima chakula cha mifugo

mrkazi360

Member
Sep 19, 2023
8
6
Tunauza mizani ya kisasa yenye uwezo wa kupima 0 kg hadi 300 kg .

- Mizani hii ni mizuri sana kwani inatumia betri za remote.

- Mizani hii hutumika kupimia chakula cha mifugo wakati wa kuchanganya.

- Pia unaweza kupima nyama na bidhaa zingine

- Unaweza kuhutumia hata kwenye giza ama wakati wa usiku kwani una display yenye mwanga.

- Mizani hii ni portable sana hivyo unaweza weka hata kwenye mfuko wa shati ukaenda kupiga kazi kokote.

- Mizani yetu imeundwa na chuma hivyo hudumu kwa muda mrefu sana na inakuja ikiwa na warranty ya mwaka mzima.

Utaipata kwa bei ya Tsh80,000/=

Karibu sana.

●Call
0656 446 991

Tupo dar es Salaam Tegeta kwa ndevu darajani opposite na The one hall njia ya kwenda jeshini.

TUNANAWAKALA MIKOANI KOTE.

IMG-20230929-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom