and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,979
Madhara ni kwa wafanya biashara wachache waliowekeza huko kwenye biashara ya internet na kutupiga bei za ajabu...Kwani ikiingia Kuna madhara gani na isipoingia Kuna faida gani
Madhara ni kwa wafanya biashara wachache waliowekeza huko kwenye biashara ya internet na kutupiga bei za ajabu...Kwani ikiingia Kuna madhara gani na isipoingia Kuna faida gani
Kama ni hivyo wale tu hasaraMadhara ni kwa wafanya biashara wachache waliowekeza huko kwenye biashara ya internet na kutupiga bei za ajabu...
Mie mwenyewe nilishangaa mkuu nikahisi ni wale ndege weupe ilikuwa mida ya saa moja na robo.
MmhhhSio nyota zile,malaika walikua wanafanya gwaride