Nyonyo...

Rose1980, hapo kwenye red:

Kwasababu wao ndo wanazindua then, wanakuja watoto na Mwisho wanamalizia wao!

Ndo maana jamaa alipitilizwa kituo kwa kudhani pengine Mtende utaota jangwani.......................



duu aya bwana....
 
Basi basi usinifikishe mbali,nisamehe nimekoma,ila kwa upande mwingine huyu mama/dada tabia yake haijakaa sawa,aliona nyonyo yake nzuri haionekani,akaamua kuitoa nje ili jamaa aione,duh!


gud boy..
u mwanaume mwema..usopenda ligi
yaan ivi ndvyo mwanaume anatakiwa awe...sasa apa ungejifanya kupandisha mistar weeeeeeeeeeeeee ungeniona apo mbele ya monitor yako....
 
eti ...eti ...ivi ..eti kwanini wakaka wnapenda manyonyo?
ndo kusema walipokuwa watoto awakumalizia kunyonya?


ha!ha! km mdada kaweka plasta kwenye chuchu anakwambia chaliii ayke inapenda kunyonya km kindama cha mbuzi....

Y MNAPENDA KUJITOTOLESHA?....kupenda manyonyo?

Hiyo ni chakula ya baba kama mtoto hajazaliwa na akisha zaliwa inakuwa ni ya baba na mtoto
 
Haya matani mengine kwa wanaume huwaga siyo mazuri mazee dada amesababisha jamaa akapitiliza kituo akisubiri bahati kwenye hakuna. Stupid zake jamaa na uroho wake lakini.
 
kwani nyonyo ina mikanda miwili?na nyonyo ni ile chupa anayonyonyoa mtomto mdogo ni kama lapa au kandambili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom