#COVID19 Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

Zombie hawataamini maana wanaamini chanjo inazuia maambukizi na vifo.

Ndo maana mtu mashuhuri akiugua akiwa hajachanjwa utasikio kwa sababu hakuchanjwa.Ila wanaokufa hata baada ya kuchanjwa hawatajwi hasa hapa TZ
 
Jacob Desvarieux mwanzilishi wa Band ya Kassav na dancing style ya Zouk, alikufa kwa covid 19, July 30/2020, akiwa amechanjwa chanjo 3..Bado aliambukizwa na kufa hatimaye kuzikwa kwao Guadelope.
Na huko mitaani alipchanja wanakufa,sijui kwann
 
Back
Top Bottom