#COVID19 Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!View attachment 1932699
Hivi Wewe jamaa una akili Kweli?

nenda kachanje kama unajipenda achana na mambo ya waingereza
 
Cha ajabu nini wakati kila mwaka wanachoma shot ya Flu. sababu ya bima ya afya ya kwao na wanaogopa sana mafua ya kawaida tu wanachoma chanjo kila mwaka. Hawa ni wachache sana wengi wamechoma ndio maana unaona tuna enjoy siku hizi EPL. Jana Biden kawa mkali sababu kuna watu kama Milion 80 bado kasema mnatuletea shida sisi million 200 tuliochoma.
Sasa nyie marekani sie watz inatuhusu nini?
 
Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!View attachment 1932699
Sasa wewe kila kitu akifanya mzungu kwako ushindi jiandae na ndoa za wanaume kwa wanaume wameanadama wanataka kila nchi watu waoane upo tayari?
 
Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!View attachment 1932699
Usijidanganye na kushikilia unyasi kubeba argument yako.
UK ina watu milioni 68. Na kati ya hao milioni 48 wamechanja.
Mkiendelea na maujinga mtajikuta ndani ya boksi muda si mrefu!

"More than 48 million people in the UK have received at least one dose of a coronavirus vaccine - part of the biggest inoculation programme the country has ever launched."
- BBC
 
Jacob Desvarieux mwanzilishi wa Band ya Kassav na dancing style ya Zouk, alikufa kwa covid 19, July 30/2020, akiwa amechanjwa chanjo 3..Bado aliambukizwa na kufa hatimaye kuzikwa kwao Guadelope.
Ukitaja jambo nusu nusu kwa makusudi una ajenda ya kusema uongo. Jacob Desvarieux alikuwa na kisukari kikali hadi alipoteza figo. Alikuwa na figo za kupandikiza. Ili figo hizo zifanye kazi ilikuwa ni lazima atumie dawa za kuzuia kinga (immunity suppressing drugs). Maana yake ni kuwa alikuwa hawezi kuwa na kinga yoyote, au chanjo ilikuwa haiwezi kumpa kinga. Ni sababu mojawapo alichanjwa mara tatu. That is an extremely isolated case not fit for a generalisation
 
Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!View attachment 1932699

Kwa taarifa yako wapinga chanjo wapo tangu 1950s. Haya ni mwendelezo tu wa kazi zao. Kasome anti-vaccine groups, wanapinga mpaka hizi za chini ya miaka mitano. Wanachokifanya ni mwendelezo wa wanachokiamini.

Kwa hapa kwetu sijaona mpinga chanjo bali kila mmoja kubaki na uamzi wake wa kuchanja au kutokuchanja.
 
Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya watu mjini London Uingereza wakiandamana kupinga chanjo ya corona. Je hawa nak waliharibiwa na JPM?? Ni chizi tu anayeweza kuamini hivyo!!View attachment 1932699
Asante sana mkuu. Tuzidi kupaza sauti, wataamka hata kama ni kumi. Hali si shwari kabisa kwa sababu waovu waliotengeneza hiki kiitwacho "chanjo" - japo si chanjo kamwe - wamekaa wamekunja mikono lakini sisi wanaotuumiza ndio tuko bize kuwatetea na kutetea sumu yao.
 
Back
Top Bottom