Nyomi ya coco beach ni balaa imevunja rekodi

Nyomi ya coco beach ni balaa imevunja rekodi

Acha kuchafua dini ya wenzako, wengi mnaleta sana hadithi za kutunga kuwa waislam ndio wala KITIMOTO, hizo story hazisaidii wala kufanya mpate umaarufu au kufanya hiyo nyama kuwa maarufu.

Nimeishi sana Shinyanga, Mwanza, Simiyu. Wasukuma wengi hutumia majina kama MUSSA, HAMISI, HASSAN, SHABANI, na mengi ambayo ni hutambulika kama ya waislam lkn kumbe sio Waislam.

Nikuhakikishie, hakuna MUISLAM atafunga RAMADHAN kisha akala KITIMOTO.

Acheni story za kutunga, na kama huna la kuandika basi acha kundika.

MARTERCOL NER KOOMER LER MERMER YERCO.
Hapo mwisho kabisa umejionyesha jinsi gani ulivyo punguani
Umekosa busara kabisa
 
Wakuu,

Kama kawaida sichoki kuwaletea matukio mbalimbali na leo nilipita Coco beach! Aisee nyomi niliyoikuta huko imevunja record zote. Watu ni wengi sana aiseee. Watu wazima kwa watoto wadogo. Nadhani kuna haja Uongozi wa Coco beach kuweka vifaa mbalimbali vya kuokolea watu kama Ambulace na vifaa vya tiba haraka ili kuokoa maisha ya watu endapo changamoto yoyote itatokea.
Nawasilisha.
View attachment 2212516
Watu walikuwa wengi sana, na si COCO tu hata fukwe za KIGAMBONI hali ilikuwa hivyo, kwa maono yangu hii ni fursa, kuna haja ya kuanzisha maeneo mengi ya burudani, pia kutumia viwanja vikubwa vya michezo kuanzisha matamasha maalumu ya kusherehekea sikukuu za aina hii ambapo ndani yake kunakuwa na mashindano au michezo mbalimbali, vyakula, vinywaji na mengineyo
 
Hii ni coment ya yangu nimecomment kwenye uzi mwingine kama huu naipaste hapa.

Wengi wenye umri mdogo humu hamuwezi kujuwa lakini nawakikishia hili ni tatizo la ccm kuuza au kupora viwanja vya wazi.

Zamani hakukuwa na uzuraraji wa kiholela nje ya wilaya zenu na tarafa zenu palikuwa panajengwa mabanda (Circus) basi hapo burudani zote hupatikana, ngongoti, korokoro, muziki theater groups and likes ali mradi ni burudani tupu, watoto kwa wakubwa hakika walifurahi sana, na kulikuwa na mzunguko mkubwa wa pesa kwa biashara zote za vinywaji na vitafunwa, yani ilikuwa Disney land fulani.

Kuna kina sisi wengine tuliokuwa wapenzi wa sinema tulikwenda kuangalia movie Avalon cinema, Empire, New chocks, Odeon, Cameo, Drive in and so on,

Kwa mfano viwanja vya mnazi mmoja, buguruni chama, Temeke kata ya 14, kiwalani kata ya kipawa, mwenge, hizi sehemu kwa uchache zilikuwa na circus zao kama Disney land fulani hivi, lakini kwakuwa kuna kundi la walafi ccm wakateka nyala haya maeneo ya wazi either kujimilikisha au kuyauza na hatimaye huu utamaduni ukayeyuka jumla jijini Dar.

Ni hatari sana siku za sikukuu kundi moja kubwa lote kuelekea out sehemu moja kwa kukosekana public area za community kukutana.

Kwa tuliofuta matongotongo na kutembea nchi zenye viongozi wenye akili na maono kila kata ina community center hall na park tena saa nyingine park zaidi ya moja, wakati Dar hiyo paki iliyobaki ya mnazi mmoja na bado inafungwa, very fun aisee.

Inshort tatizo siyo waislamu, tatizo ni ccm.

Halafu kingine zamani siku za sikukuu ndio zilikuwa ndugu na familia kutembeleana na ndugu kujuwana lakini umaskini umeondowa upendo na sasa tunaishi kama manyani tu, hata mpenzi wako anakugeuza wewe ndio source of income na siyo tulizo la moyo tena
Kidongo chekundu ndio palikuwa chimbo LA wengi, Sarakasi,taarab (yule Faruku nilimjulia pale), Karagosi,bembea,korokoro na vyakula vya kila namna.
Siku hizo kuna soccer academy na magereji bubu pale.
 
Wakuu,

Kama kawaida sichoki kuwaletea matukio mbalimbali na leo nilipita Coco beach! Aisee nyomi niliyoikuta huko imevunja record zote. Watu ni wengi sana aiseee. Watu wazima kwa watoto wadogo. Nadhani kuna haja Uongozi wa Coco beach kuweka vifaa mbalimbali vya kuokolea watu kama Ambulace na vifaa vya tiba haraka ili kuokoa maisha ya watu endapo changamoto yoyote itatokea.
Nawasilisha.
View attachment 2212516
Watu wamekwenda na kushangaa tanzanite bridge pia
 
Watu walikuwa wengi sana, na si COCO tu hata fukwe za KIGAMBONI hali ilikuwa hivyo, kwa maono yangu hii ni fursa, kuna haja ya kuanzisha maeneo mengi ya burudani, pia kutumia viwanja vikubwa vya michezo kuanzisha matamasha maalumu ya kusherehekea sikukuu za aina hii ambapo ndani yake kunakuwa na mashindano au michezo mbalimbali, vyakula, vinywaji na mengineyo
Hayo mambo yalikuwepo miaka ya nyuma, ccm inahusika na huu uharibifu hata school bus zao wenyewe waliziuwa na shule za jumuiya ya wazazi ambazo ndio zilikuwa kimbilio ukikosa selection ya Government schools pia nàzo wameziuwa.
 
Kubwa sana hii mkuu.
 
Point kubwa sana hii.
 
Ile siku ya pasaka nilikua gomz aisee yale magari ya gomz msasani yalivyojaza acha kila bus, sikukuu zote Bongo watu wanakua wengi beach sio sikukuu za Eid tu,,,wabongo hawana utaratibu wakutulia majumbani na kama upo ni kwawachache sana!Kama huamin subir Xmass ukajionee pia
 
Ni kweli mkuu lakini Sikukuu za Eid nyomi huwa kubwa sana
 
Unatofauti gani na akili za uliyemjibu kama wewe umeshindwa kuleta hoja na kuanza matusi..absurd.

Ila kimsingi wametoka kifungoni sasa maovu kutaradadi bila aibu.

Subiri uone picha lilianza jana gest zote zilijaa.

#MaendeleoHayanaChama
Si ni sikukuu na watu wa imani mbalimbali hutumia siku hiyo kusherekea, ni sawa na maduka mengi kufungwa jumapili ndio utasema wote wameenda kanisani au ni wakristo ndio maana wamefunga maduka jumapili?
 
Kuna Mwingine Ameripoti Nyomi Kivukoni...Ferry kuwa Ilikuwa Balaa..

Nafikiri tushakuwa Wengi Dar na Sehemu Za Ku refresh ni Chache..!

Kipindi Cha Nyuma ...Makonda Alikuwa Mbunifu...Sasa Zamu Ya Mzee Makalla Sijui Atabuni nini Kuhusu Suala hili?

Manji alishafuta mpango wake kuiteka Koko bichi
 
Hayo mambo yalikuwepo miaka ya nyuma, ccm inahusika na huu uharibifu hata school bus zao wenyewe waliziuwa na shule za jumuiya ya wazazi ambazo ndio zilikuwa kimbilio ukikosa selection ya Government schools pia nàzo wameziuwa.

CCM ni LAANA
 
Back
Top Bottom