Nyomi ya coco beach ni balaa imevunja rekodi

Unakumbuka watu walikua wanatoka maeneo mbalimbali ya jiji, kwenda ndege bichi, na daladala za kukodi, huku zikepeperusha bendera za nchi mbalimbali hasa za nchi zilizoendelea.

Mwendo sasa, ni mwendo wa kasi, kurudi huko siku ya pili sasa kama umeenda peke yako shauri yako.
Hizi picnic za ndege beach ni miaka ya juzi tu 90's

Mimi naongelea kipindi ambacho picnic ni Rungwe ocenic na Bahari Beach hotel.

Coco beach ilianza kuchangamshwa na Joseph Kusaga na Disco lake la Mawingu kabla hata hana ndoto kuwa kuna siku ataanzisha redio Clouds.
 
Wakati wa sikukuu miaka hiyo ya nyuma Dar hakukuwa na shida ya usafiri ingawa familia nyingi hazikuwa na magari kwa sababu watu wengi walikuwa na sehemu za kusheherekea sikukuu maeneo yao hukohuko.

Tuliokuwa tunapenda kutoka tulitumia usafiri huu wa usafiri Dar Uda.

Hiyo ni Icarus kumbakumba.

View attachment 2211893
Kumbe mwendo Kasi Ilianza zaman ehee
 
Kumbe mwendo Kasi Ilianza zaman ehee
Kitambo sana, kuna washamba walipewa madaraka hapa katikati basi wakaona kila mtu ni mshamba mwenzao.

IMG-20220314-WA0014.jpg
 
Kuna Mwingine Ameripoti Nyomi Kivukoni...Ferry kuwa Ilikuwa Balaa..

Nafikiri tushakuwa Wengi Dar na Sehemu Za Ku refresh ni Chache..!

Kipindi Cha Nyuma ...Makonda Alikuwa Mbunifu...Sasa Zamu Ya Mzee Makalla Sijui Atabuni nini Kuhusu Suala hili?
Mkolomije alibuni kitu gani?
 
Waislamu fungulia umbwa Sasa kitimoto itapanda bei manake ndo hasa wateja wa ile kavu halafu dada poa ndio usiombe watakuja hadi majumbani. Kufungulia hoyeeee
 
Moro.kulikuwa na fete fete pale karibu na Sapner ilikuwa nzuri sana.
 
Waislamu fungulia umbwa Sasa kitimoto itapanda bei manake ndo hasa wateja wa ile kavu halafu dada poa ndio usiombe watakuja hadi majumbani. Kufungulia hoyeeee
Acha kuchafua dini ya wenzako, wengi mnaleta sana hadithi za kutunga kuwa waislam ndio wala KITIMOTO, hizo story hazisaidii wala kufanya mpate umaarufu au kufanya hiyo nyama kuwa maarufu.

Nimeishi sana Shinyanga, Mwanza, Simiyu. Wasukuma wengi hutumia majina kama MUSSA, HAMISI, HASSAN, SHABANI, na mengi ambayo ni hutambulika kama ya waislam lkn kumbe sio Waislam.

Nikuhakikishie, hakuna MUISLAM atafunga RAMADHAN kisha akala KITIMOTO.

Acheni story za kutunga, na kama huna la kuandika basi acha kundika.

MARTERCOL NER KOOMER LER MERMER YERCO.
 
Wakuu,

Kama kawaida sichoki kuwaletea matukio mbalimbali na leo nilipita Coco beach! Aisee nyomi niliyoikuta huko imevunja record zote. Watu ni wengi sana aiseee. Watu wazima kwa watoto wadogo. Nadhani kuna haja Uongozi wa Coco beach kuweka vifaa mbalimbali vya kuokolea watu kama Ambulace na vifaa vya tiba haraka ili kuokoa maisha ya watu endapo changamoto yoyote itatokea.
Nawasilisha.

Waache wafurahie uumbaji wa Mungu, sioni tatizo waja ajabu watu kuenjoy
 
Hii ni coment ya yangu nimecomment kwenye uzi mwingine kama huu naipaste hapa.

Wengi wenye umri mdogo humu hamuwezi kujuwa lakini nawakikishia hili ni tatizo la ccm kuuza au kupora viwanja vya wazi.

Zamani hakukuwa na uzuraraji wa kiholela nje ya wilaya zenu na tarafa zenu palikuwa panajengwa mabanda (Circus) basi hapo burudani zote hupatikana, ngongoti, korokoro, muziki theater groups and likes ali mradi ni burudani tupu, watoto kwa wakubwa hakika walifurahi sana, na kulikuwa na mzunguko mkubwa wa pesa kwa biashara zote za vinywaji na vitafunwa, yani ilikuwa Disney land fulani.

Kuna kina sisi wengine tuliokuwa wapenzi wa sinema tulikwenda kuangalia movie Avalon cinema, Empire, New chocks, Odeon, Cameo, Drive in and so on,

Kwa mfano viwanja vya mnazi mmoja, buguruni chama, Temeke kata ya 14, kiwalani kata ya kipawa, mwenge, hizi sehemu kwa uchache zilikuwa na circus zao kama Disney land fulani hivi, lakini kwakuwa kuna kundi la walafi ccm wakateka nyala haya maeneo ya wazi either kujimilikisha au kuyauza na hatimaye huu utamaduni ukayeyuka jumla jijini Dar.

Ni hatari sana siku za sikukuu kundi moja kubwa lote kuelekea out sehemu moja kwa kukosekana public area za community kukutana.

Kwa tuliofuta matongotongo na kutembea nchi zenye viongozi wenye akili na maono kila kata ina community center hall na park tena saa nyingine park zaidi ya moja, wakati Dar hiyo paki iliyobaki ya mnazi mmoja na bado inafungwa, very fun aisee.

Inshort tatizo siyo waislamu, tatizo ni ccm.

Halafu kingine zamani siku za sikukuu ndio zilikuwa ndugu na familia kutembeleana na ndugu kujuwana lakini umaskini umeondowa upendo na sasa tunaishi kama manyani tu, hata mpenzi wako anakugeuza wewe ndio source of income na siyo tulizo la moyo tena
Mkuu kweli kabisa, nakumbuka ile Mnazi mmoja yote ilikuwa na circus pamoja na Korokoro kule Kidongo chekundu, alafu majumba ya Cinema yote yako busy, yaani kwa kweli tumeendelea kwa kurudi nyuma. Hii nchi kuna washamba wameiharibu sana yaani.
 
Hii ni coment ya yangu nimecomment kwenye uzi mwingine kama huu naipaste hapa.

Wengi wenye umri mdogo humu hamuwezi kujuwa lakini nawakikishia hili ni tatizo la ccm kuuza au kupora viwanja vya wazi.

Zamani hakukuwa na uzuraraji wa kiholela nje ya wilaya zenu na tarafa zenu palikuwa panajengwa mabanda (Circus) basi hapo burudani zote hupatikana, ngongoti, korokoro, muziki theater groups and likes ali mradi ni burudani tupu, watoto kwa wakubwa hakika walifurahi sana, na kulikuwa na mzunguko mkubwa wa pesa kwa biashara zote za vinywaji na vitafunwa, yani ilikuwa Disney land fulani.

Kuna kina sisi wengine tuliokuwa wapenzi wa sinema tulikwenda kuangalia movie Avalon cinema, Empire, New chocks, Odeon, Cameo, Drive in and so on,

Kwa mfano viwanja vya mnazi mmoja, buguruni chama, Temeke kata ya 14, kiwalani kata ya kipawa, mwenge, hizi sehemu kwa uchache zilikuwa na circus zao kama Disney land fulani hivi, lakini kwakuwa kuna kundi la walafi ccm wakateka nyala haya maeneo ya wazi either kujimilikisha au kuyauza na hatimaye huu utamaduni ukayeyuka jumla jijini Dar.

Ni hatari sana siku za sikukuu kundi moja kubwa lote kuelekea out sehemu moja kwa kukosekana public area za community kukutana.

Kwa tuliofuta matongotongo na kutembea nchi zenye viongozi wenye akili na maono kila kata ina community center hall na park tena saa nyingine park zaidi ya moja, wakati Dar hiyo paki iliyobaki ya mnazi mmoja na bado inafungwa, very fun aisee.

Inshort tatizo siyo waislamu, tatizo ni ccm.

Halafu kingine zamani siku za sikukuu ndio zilikuwa ndugu na familia kutembeleana na ndugu kujuwana lakini umaskini umeondowa upendo na sasa tunaishi kama manyani tu, hata mpenzi wako anakugeuza wewe ndio source of income na siyo tulizo la moyo tena
Zamani vijana siku za sikukuu walikuwa wanacheza bogie Ymca,Ushirika Club,Mbowe Hotel n.k siku hizi ngono ndio ufahari
 
Point kubwa sana hii mkuu.
 
Kuna Mwingine Ameripoti Nyomi Kivukoni...Ferry kuwa Ilikuwa Balaa..

Nafikiri tushakuwa Wengi Dar na Sehemu Za Ku refresh ni Chache..!

Kipindi Cha Nyuma ...Makonda Alikuwa Mbunifu...Sasa Zamu Ya Mzee Makalla Sijui Atabuni nini Kuhusu Suala hili?
Alibuni nini huyo makonda...hata garden tu za road zilimshinda
 
Waislamu fungulia umbwa Sasa kitimoto itapanda bei manake ndo hasa wateja wa ile kavu halafu dada poa ndio usiombe watakuja hadi majumbani. Kufungulia hoyeeee
Umeshindwa kusema ukweli kuwa sikukuu za kiislam zinafana sana matokeo yake umechomekea mambo mengine.
 
Acha kuchafua dini ya wenzako, wengi mnaleta sana hadithi za kutunga kuwa waislam ndio wala KITIMOTO, hizo story hazisaidii wala kufanya mpate umaarufu au kufanya hiyo nyama kuwa maarufu.

Nimeishi sana Shinyanga, Mwanza, Simiyu. Wasukuma wengi hutumia majina kama MUSSA, HAMISI, HASSAN, SHABANI, na mengi ambayo ni hutambulika kama ya waislam lkn kumbe sio Waislam.

Nikuhakikishie, hakuna MUISLAM atafunga RAMADHAN kisha akala KITIMOTO.

Acheni story za kutunga, na kama huna la kuandika basi acha kundika.

MARTERCOL NER KOOMER LER MERMER YERCO.
Unatofauti gani na akili za uliyemjibu kama wewe umeshindwa kuleta hoja na kuanza matusi..absurd.

Ila kimsingi wametoka kifungoni sasa maovu kutaradadi bila aibu.

Subiri uone picha lilianza jana gest zote zilijaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom