Nyomi ya coco beach ni balaa imevunja rekodi

Nyomi ya coco beach ni balaa imevunja rekodi

Kwa hiyo hiyo nyomi imepunguza mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?
 
Ile siku ya pasaka nilikua gomz aisee yale magari ya gomz msasani yalivyojaza acha kila bus, sikukuu zote Bongo watu wanakua wengi beach sio sikukuu za Eid tu,,,wabongo hawana utaratibu wakutulia majumbani na kama upo ni kwawachache sana!Kama huamin subir Xmass ukajionee pia

wabongo ni watu wakupenda kutoka out na kula raha, CCM tu ndio inayowaumiza na kuwapa dhiki.

Kama hii nchi kungelikua na utawala mzuri kwa mazingira ya wabongo walivyo Nchi yetu ingelikua ni moja ya nchi bora Africa kwa entertainment na kula bata.
 
Si ni sikukuu na watu wa imani mbalimbali hutumia siku hiyo kusherekea, ni sawa na maduka mengi kufungwa jumapili ndio utasema wote wameenda kanisani au ni wakristo ndio maana wamefunga maduka jumapili?

mkuu hao wengine ni watu wenye chuki zao tu sio kama hawafahamu mazingira yalivyo.
 
Hii nchi ingelikua mbali sana kama ingelikua na viongozi wazuri. Wananchi wanapata tabu hata sehemu za kustarehe na familia zao.

Hii nchi iliongozwa na wahuni wakafata washamba na sasa wahuni wamerejea tena. Tunaendelea kulia kwa kutopata viongozi bora wenye muono wa ki maendeleo.
 
Hayo mambo yalikuwepo miaka ya nyuma, ccm inahusika na huu uharibifu hata school bus zao wenyewe waliziuwa na shule za jumuiya ya wazazi ambazo ndio zilikuwa kimbilio ukikosa selection ya Government schools pia nàzo wameziuwa.
Oooh, nilikuwa sifahamu, basi wameturudisha nyuma, kuna haja ya kuhuisha hayo yote kwa maslahi mapana ya umma
 
Ile siku ya pasaka nilikua gomz aisee yale magari ya gomz msasani yalivyojaza acha kila bus, sikukuu zote Bongo watu wanakua wengi beach sio sikukuu za Eid tu,,,wabongo hawana utaratibu wakutulia majumbani na kama upo ni kwawachache sana!Kama huamin subir Xmass ukajionee pia
Upo sahihi, sema tu PASAKA iliangukia mwezi wa RAMADHAN, isingekuwa hivyo watu wangekuwa mara 2 au 3 ya uliowaona siku hiyo
 
Oooh, nilikuwa sifahamu, basi wameturudisha nyuma, kuna haja ya kuhuisha hayo yote kwa maslahi mapana ya umma
Mradi wa school bus wameuwa kina Masaburi wakati akiwa yeye ndio mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Dar.

Kulikuwa pia kuna shirika la uchumi na kilimo Sukita nalo wameliuwa, sasa watu wanaouwa investment zao wenyewe binafsi unapowakabidhi mali za Taifa unategemea nini?
 
Njoo Copacabana au Ipanema uone nyomi...
 
Mradi wa school bus wameuwa kina Masaburi wakati akiwa yeye ndio mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Dar.

Kulikuwa pia kuna shirika la uchumi na kilimo Sukita nalo wameliuwa, sasa watu wanaouwa investment zao wenyewe binafsi unapowakabidhi mali za Taifa unategemea nini?

Hii ni changamoto aisee
 
Wajukuu wa Ismail,isihaka na ibrahim,
Umma wa Muhammad
 
Waislamu fungulia umbwa Sasa kitimoto itapanda bei manake ndo hasa wateja wa ile kavu halafu dada poa ndio usiombe watakuja hadi majumbani. Kufungulia hoyeeee
Jitahidi uwe unachamba kabla kuingia humu jukwaani sasa ona unachafua mada na mimavi yako..
 
Wakati wa sikukuu miaka hiyo ya nyuma Dar hakukuwa na shida ya usafiri ingawa familia nyingi hazikuwa na magari kwa sababu watu wengi walikuwa na sehemu za kusheherekea sikukuu maeneo yao hukohuko.

Tuliokuwa tunapenda kutoka tulitumia usafiri huu wa usafiri Dar Uda.

Hiyo ni Icarus kumbakumba.

View attachment 2211893
Dah!!! Hii ilikuwa kitambo sana. Hadi dereva ni mzungu!!!!!
 
Back
Top Bottom