SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Utani unaanzia wapi? Oktoba si hiyo hapo usoni?? Tunatiki na Samia tunaye hadi 2030
Kuwa naye siyo tatizo langu,hata mkitaka muwe naye mpaka liamba ni nyie tu na roho zenu. So Samia ndiye kakupa hii ajira ya uchawa?
 
U
Kuwa naye siyo tatizo langu,hata mkitaka muwe naye mpaka liamba ni nyie tu na roho zenu. So Samia ndiye kakupa hii ajira ya uchawa?
Umenipa wewe
 
U

Umenipa wewe
Ona aibu basi hata kidogo. Niseme tu ukweli zamani nilikuwa najua uko vizuri upstairs
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe kasongo
 
Ona aibu basi hata kidogo. Niseme tu ukweli zamani nilikuwa najua uko vizuri upstairs
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe kasongo
Siishi kwa kukariri, na siandiki kumfurahisha mtu hapa JF
 
Siishi kwa kukariri, na siandiki kumfurahisha mtu hapa JF
Kweli wewe kasongo, nani kasema anataka uandike kwa kumfurahisha? Watu kweli wanapesa za kuchezea, mimi mtu kama wewe sikulipi ng'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…