SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kwani huo utalatibu umeanza kipindi cha samia au ndo utaratibu wa siku nyingi wa ccm?
 
Kama ww ingetokea kuwa kuna usafiri wa bure na ubwabwa bwerere wa pesa ya mafisadi iliyochangwa pale Mlimani City, pia show za bure za wasanii utaachaje kwenda kumuona kahaba wa taifa aliyeuza bandari ?
Mkuu ni ukweli kabisa hauna uelewa wa mambo... kabla ya DP World - Bandari hiyo hiyi ilikuwa inaendeshwa na TICTS ya wazungu... kwani ni Samia ndio aliuza kipindi hicho???

Elewa ile kelele kipindi cha DP ilikuwa ni vita kubwa sana ya kibiashara - na TICTS walifanya vizuri sana kuamsha hisia kupitia fedha walizohonga kila mtu na kuna madeal kibao yalikatwa... walitumia ujinga wa wabongo.. maeneo alokuwa anaendesha TICTS leo ndio anaendesha DP... kipi kigeni hapooo????
 
Anataka kupangia watu,yeye nani anampangia maisha yake.Ukisikiliza hawa wana harakati wa bongo unaona jinsi gani tuna ufinyu wa kufikiri.Wanatabia yakulazimisha maadui zao wawe ni maadui wa kila mtu.Watanzania wanaweza kua wajinga ila sio kiasi chakuwafanya wasijue namna yakuishi na kuchagua maisha yao.Kama ilivyo kwenye mpira huwezi kuwalazimisha watu washabikie timu nayoipenda wewe ndivyo ilivyo pia kwenye siasa,kila mtu ana upande wake na hiyo ndio demokrasia.Apunguze ujinga.
 
Hawana akili hao.
 
NAomba ile video ya waliomwagwa na fuso mmoja analia anataka kukojoa. Yaani hata fuso liliona haliwezi shiriki upuuzi likawamwaga
Ukichoandika hapa na utoto.Hizo ni ajali kama zingine na hazina uhusiano na siasa.Siasa zisitufanye tuwe wajinga.
 

Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!
 
Aelewe tu online republic ya wa Tanzania ni less than 10% ya nchi

And katika hiyo 10%, Wenye kupaza sauti have nothing to do with actual polticis

Wakishapiga jingle humu wanaendelea na maisha yao
 
Watu wamesombwa na magari toka uyole tukuyu igawilo vwawa chimala tunduma songwe mange anayajua haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…