halotelMsaada hii namba inaweza ikawa ya taasisi gani? Nimekuta missed call
+255 0255627234142
Hawa ni watu 23,653 wanataka kufanya interview katika ukumbi wa diamond jubilee, ili kutafuta nafasi za ajira katika shirika la mapato Tanzania (TRA), wakati waliokuwa wanahitajika ni watu 40 tu.View attachment 318663
halotel
Msaada hii namba inaweza ikawa ya taasisi gani? Nimekuta missed call
+255 0255627234142
Msaada hii namba inaweza ikawa ya taasisi gani? Nimekuta missed call
+255 0255627234142
Msaada hii namba inaweza ikawa ya taasisi gani? Nimekuta missed call
+255 0255627234142
Msaada hii namba inaweza ikawa ya taasisi gani? Nimekuta missed call
+255 0255627234142
Hao wote takribani 81% wanakazi, ila wanaziba risk za wenzao.Hawa ni watu 23,653 wanataka kufanya interview katika ukumbi wa diamond jubilee, ili kutafuta nafasi za ajira katika shirika la mapato Tanzania (TRA), wakati waliokuwa wanahitajika ni watu 40 tu.View attachment 318663
Wao wame relax zao nyumbani wanawachekaHapo tayari hao 40 wapo na wanajulikana..
Hii inaitwa inferiority complex. Hamjachekwa bali wenyewe mnajishtukia. Wote wawe walimu hao ma dk, wahasibu nk watatoka wapi. After all hata ualimu utakuwa wa kuomba sasa si kupangwa. Upo? Kenge we!Hawa ndio waliokuwa wanawacheka BAED vyuoni nakuwaona wenzao wamepotea njia..mtaisoma number nyumbu nyie hapo tayari hizo nafasi zote 40 zinawatu wake
Hili nyumbu jingine sijui limetoka wapi.nani asiyejua maneno yenu ya kashifa kwa wanaosomea ualimu mliyokuwa mnayatoa kipindi hicho.wahasibu watatoka wapi waliopo c wanatosha.limtu from nowhr linasomea uhasibu wakati linajua kabisa halina connection na ajira zinasumbua mnabaki kutupigia pigia kelele kwenye mitandao huku.MTAISOMA NUMBERHii inaitwa inferiority complex. Hamjachekwa bali wenyewe mnajishtukia. Wote wawe walimu hao ma dk, wahasibu nk watatoka wapi. After all hata ualimu utakuwa wa kuomba sasa si kupangwa. Upo? Kenge we!
Tatizo elimu inaanda watu kwa kazi za ofisin.Tatizo la ajira limeshakuwa ni tatizo kubwa sana, tujaribu pia na njia mbadala za kutatua kama kujiajiri wenyewe.