Nyomi la Usaili wa Nafasi 40 TRA

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Hawa ni watu 23,653 wanataka kufanya interview katika ukumbi wa diamond jubilee, ili kutafuta nafasi za ajira katika shirika la mapato Tanzania (TRA), wakati waliokuwa wanahitajika ni watu 40 tu.
12522994_151347661909161_2785700266446121773_n.jpg
 
Hawa ni watu 23,653 wanataka kufanya interview katika ukumbi wa diamond jubilee, ili kutafuta nafasi za ajira katika shirika la mapato Tanzania (TRA), wakati waliokuwa wanahitajika ni watu 40 tu.View attachment 318663
Hawa ndio waliokuwa wanawacheka BAED vyuoni nakuwaona wenzao wamepotea njia..mtaisoma number nyumbu nyie hapo tayari hizo nafasi zote 40 zinawatu wake
 
Waliosoma education kumbe wana raha sana..
Yani baada ya kumaliza chuo tu ajira inakuja kiulainiiiii....
 
kwa kweli sasa hivi ukisoma kwa mawazo ya kuajiriwa itakula kwako vijana wengi sana wako benchi
 
Back
Top Bottom