Nyokaa lounge night club, Singida

Nyokaa lounge night club, Singida

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,347
Wazee leo nimetembelea sehemu moja inaitwa nyokaa lounge hapa singida mjini ,

Kuna totoz hizooo, yaani ni full of pensi. Ukiwatazama kwa umakini utazani wamevalishwa Pampers za watoto wachanga kwa nyuma.

Ila kuna binti la kimbulu isee hii ndio inafaa kwa matumizi ya consumers.

Singida mjini ni sehemu gani yenye night club kama hii?
 
Bila luggage huu uzi ni sawa ni sawa tu na story za kutunga
 
Bonge la kivutio..sisi tunaita ma ng'ongo...mwanza Wana majabali Kama singida ila ya kwao hayavutii kupozi..ya singida unachill fresh tu na ukiwa popote
Nikipita Singida ntakutafuta siku yoyote ile umenikumbusha mbali sana ndugu.
 
Rhode night club

Back
Top Bottom