Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

Joka la makengeza a.k.a The Hustler of all time achana na yote jamaa atakua mentor watu wengi sana wapigaji maana harakati zake ziko wazi na la kumfanya hatuna na yeye ni jeshi la mtu mmoja haaa haa nasubiri mkuu wa awamu hii kama atamgusa JOKA.

Thubutuu!! Gia yao ni moja tu,"sisi sote tokea usukumani"
 
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.

Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.

Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.
Bila shaka hizi ni akili za lofa mmoja,makengeza atawafanya manyumbu hadi wajukuu zenu
 
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.

Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.

Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.
Kwa watanzania na serikali yao fisadi ni lowasa tu wengine wote malaika
 
Kama mtu anakumbuka kwao na nyie mnamkubali, haina utata, ila bungeni ukitoa kiwawakilisha nyie, hama mchango zaidi ya kupasha kiti joto.

Joka linamchango mkubwa bungeni kuliko wabunge wote wa ccm pale mjengoni, kazi kuu ya bunge ni kutunga sheria, nani kama joka, lissu, zitto na mnyika katika kutunga sheria pale mjengoni.
 
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.

Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.

Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.

Takukuru na DPP wanamsubiri.
 
haa haa mi nasubiri mahakama ya majizi na mafisadi aliyohaidi mheshimiwa rais je mzee wa vijisenti itamuhusu?
 
tumempenda wenyewe ,chaguo letu wenyewe...
Kijana Godwin Simba alifika wapi? Mara ya mwisho nilimsikia akiwa analalamika kuwa ametelekezwa na uongozi wa CHADEMA kiasi kwamba hakupata msaada wo wote wa kampeni. Ni kweli? Nilifikiri kwamba ataliangusha joka safari hii...
 
Hahahaa hakyanani huu uzi na michango yake nimecheka sana
 
Viva chenge kwa maendeleo ya Bariadi. Kama amepiga deal na mna ushahidi nendeni mahakamani. Lkn hamuwezi kumzuia kutumia taaluma yake ya sheria katika kutoa ushauri. Na ss tulimchagua kuwa mbunge sio waziri hivyo acheni kujikanyaga. Wana Bariadi tuna imani nae Batiafi ya chenge Tanzania ya Magufuli. Lol
 
Angekuwa anataka kutufanya manyumbu asinge invest kwenye elimu. Lkn vipaumbele vyake ni Elimu Elimu Elimu. Kila shule ya sekondari kawekeza. Sasa hivi anawekeza kwenye shule za msingi. Wewe ndio nyumbu maana unataka wasukuma wasisome. Stupid
 
mmmh! mkuu, mnafaidije! kumbe mkuu magufuli hakumnadi jukwaani kama alivyomnadi mama wa mboga, tibaijuka? basi hii nchi ni shamba la bibi yake ngoja aendelee kuvuna mpaka ajaze mapakacha yote aliyokuja nayo.
 
Huyu jamaa ni failure karibia kwenye kila kitu lakini kwenye ubunge inabidi nimvulie kofia. Anashindaga bila matatizo.
 
Huyu jamaa nasikia hajawahi kufail katika kutoa ushauri wa kupiga deals. Ni hustler haswaaa.
Kutokana na mada kuu hapo juu, huyu jamaa hakuna wa kumzuia bado ataendelea kupiga nyundo tuu. Ukileta maneno saaana anakuroga tuu busha hiloo kwa kichwa cha mtu mwenye utindio wa ubongo.
 
Back
Top Bottom