Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.

Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.

Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.

Hayo mabofulo na mapau pamoja na maziwa mgando ni ni vijisenti tu ,muulize hayo mapesa ameyapeleka pango lipi , ??
 
Mimi "Joka" nalipendea kitu kimoja tu linapiga mihela na hakuna anayeligusa utaliona limekula zake pozi wakati wakina Lissu wanalisema lenyewe halina taimu ya kuwajibu.
 
Ha ha ha.....
Linajua sheria zote, katiba ndo basi tena linakutajia adi namba za vifungu!
walilipeleka mahakamani kulioji, likawazidi ujanja wakasema wataliita tena, ila mpaka leo hawajaliita wanatafakari watumie sheria gani,, ambayo ata ivo haipo!
ha ha ha aaaa
 
nchi za wenzetu mwakilishi au baba yako akiwa mwizi na mbadhirifu ni aibu kubwa. huku tunajivunia.
 
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.

Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.

Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.
Najua maabara ni za shule za kata kwa hiyo ni faida kwa taifa, vipi kuhusu kiwanda cha mikate ni chake au cha wilaya, mkoa, kata au ni kwa faida ya nani ?
 
Joka liko poa sana aisee,ni role model wa ma hustlers,long live mfalme wa bariadi,wakuache miaka 100000😛oa
 
Mimi "Joka" nalipendea kitu kimoja tu linapiga mihela na hakuna anayeligusa utaliona limekula zake pozi wakati wakina Lissu wanalisema lenyewe halina taimu ya kuwajibu.

kitufe cha kulike nimekikosa, umenifurahisha sana yaani huwa naliangalia na upara wake kimetulia tuuu hakina wasi wasi wakina lisu wakiwa wana bwabwaja pale mbele nacheka sana halafu lilivyo lipuuzi sasa kipindi cha escrow kinachangia lile zee ni hatari sana
 
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.

Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.

Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.

Kiwanda cha mikate!!! Kiwanda cha mikate??? Ndio maana baba zangu wanawaita washamba, halafu unasifia??? Aibu naona mimi
 
Joka la makengeza a.k.a The Hustler of all time achana na yote jamaa atakua mentor watu wengi sana wapigaji maana harakati zake ziko wazi na la kumfanya hatuna na yeye ni jeshi la mtu mmoja haaa haa nasubiri mkuu wa awamu hii kama atamgusa JOKA.
 
mungu wangu!!!
watanzania tumefikia hatua ya kusifia mafisadi?
kama hal ni hii, taifa hatutavuka umaskin.
 
Ha ha ha.....
Linajua sheria zote, katiba ndo basi tena linakutajia adi namba za vifungu!
walilipeleka mahakamani kulioji, likawazidi ujanja wakasema wataliita tena, ila mpaka leo hawajaliita wanatafakari watumie sheria gani,, ambayo ata ivo haipo!
ha ha ha aaaa
The the the...yaani unampeleka chura bwawani?!!
 
Najua maabara ni za shule za kata kwa hiyo ni faida kwa taifa, vipi kuhusu kiwanda cha mikate ni chake au cha wilaya, mkoa, kata au ni kwa faida ya nani ?
Kiwanda ni chake lakini wapiga kura tukiwa na njaa tunaomba, wakati wa kampeni anatuhonga!
 
Back
Top Bottom