Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

Mali ya umma ipi?deal ipi unayo refer. Huhitaji kuwa mke kujua hayo unahitaji kutumia common sense tu.
 
By the way wakazi wa mwakibuga ni watanzania usiwakashfu. Maamuzi ni yao kama una hoja tofauti hilo ni tatizo lako
 
Ukisoma tena maelezo yangu hapo juu utanielewa tu. As to my language teacher - tunamalizia kitabu kinachoitwa "Tashtiti Katika Fasihi ya Kiswahili" na kitachapishwa na Mkuki na Nyota Publishers mwaka kesho. Humo kuna makala nzuri za mabingwa wa fasihi wakiwemo Kezilahabi, Senkoro pamoja na Ngugi. Ninazo makala mbili humo moja comparative na akina Charles Dickens, George Orwell etc kwa muktadha wa Juvenalian satire. That's my language teacher sir!
Then you a slow learner sir.
 
Vipi tena mkuu? Hii si mada yako wewe? Mimi niliuliza tu kistaarabu kwani sijui. Sasa mambo ya Mwakibuga yanatoka wapi tena?

By the way huko Mwakibuga ni wapi? Wewe una ubora gani kuliko hao watu wa Mwakibuga unaowaita washamba? Kama wanakomba chai, si ni uhuru wao? Wewe ni nani mpaka uwapangie maisha yao?

Usharobaro wa Joka Makengeza na makorokocho mengine mi hayanihusu. That's his personal life. Nilikuwa namuulizia Ngwilimi kwani nilikuwa na imani kubwa pengine angeweza kushinda.

Safari nyingine ukianzisha mada be humble na wajibu wachangiaji wako kistaarabu tu na siyo kutunisha misuli yako ya dharau bila sababu. Wabeja!

"Unaongea kishabiki na kidaku daku mpaka hueleweki..." Umeanza mwenyewe kutoka kwenye mkondo wa ustaarabu, usilie lie mkuu.
 
Then you a slow learner sir.
Thanks sir. Even Albert Einstein was a slow learner. Actually many of the greatest minds were slow learners (whatever that means). I am not sure if your comment was intended to be a compliment or an insult. Whichever way it's OK with me!
 
"Unaongea kishabiki na kidaku daku mpaka hueleweki..." Umeanza mwenyewe kutoka kwenye mkondo wa ustaarabu, usilie lie mkuu.
Asante mkuu. Na alia liaye mitandaoni huku akijibishana na watu asiowajua huyo anatakiwa kuonewa huruma. Asante na log off katika topic hii. Joka Makengeza na vijisenti vyake naye muda wake utafika na atapita. Wangapi walikuwa vingunge wa siasa lakini leo hawasikiki tena?
 
Vipi tena mkuu? Hii si mada yako wewe? Mimi niliuliza tu kistaarabu kwani sijui. Sasa mambo ya Mwakibuga yanatoka wapi tena?

By the way huko Mwakibuga ni wapi? Wewe una ubora gani kuliko hao watu wa Mwakibuga unaowaita washamba? Kama wanakomba chai, si ni uhuru wao? Wewe ni nani mpaka uwapangie maisha yao?

Usharobaro wa Joka Makengeza na makorokocho mengine mi hayanihusu. That's his personal life. Nilikuwa namuulizia Ngwilimi kwani nilikuwa na imani kubwa pengine angeweza kushinda.

Safari nyingine ukianzisha mada be humble na wajibu wachangiaji wako kistaarabu tu na siyo kutunisha misuli yako ya dharau bila sababu. Wabeja!
ngwilimi kushinda ingekua ngumu,kama atakuwa anafahamika ni maeneo ya bariadi mjini hana mizizi mirefu kama mtemi chenge,
 
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.

Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.

Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.

Mnadanganywa na tumbo mwenzenu afanya makubwa. Mikate!!!! Ee kweli ushamba mzigo. Endelea kulala naogopa kukuamsha nsije lala mie.
 
Huyu jamaa ni kichwa sana sijui kwann taaluma yake haitumii kufundisha vijana wetu vyuoni
 
Wala usishangae,hao ndio wanyatuzu ktk ubora wao. Yaani ni bure kabisa kichwani.

Na wewe ni wa wapi vile? Wanyantuzu wana akili sana wanatambua namna wajinga wanavyojua kuwachafua wanyantuzu wenzao ktk medani za kisiasa ili mradi tu asipewe madaraka. Hivyo wameamua kuwa wazalendo na kumrudisha mtu wao. Kosa liko wapi hapo? Na hakuna fisadi kwa sasa hivi maowaita mafisadi wote ni malaika kwa sasa
 
Oh My God, Joka wetu, eti wewe ni jipu? Nilikuona jana wakati rais wa Ccm akihutubia bunge la Ccm, joka ulikuwa cool muda wote.Hukujisumbua hata kubamiza meza. Ulikula buyu muda wote. Joka, kwani na wewe ni miongoni mwa majipu? Siku wakikutumbua si utatoka usaha mwingi sana?!!
 
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.

Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.

Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.

Daaaaaa shiiiiit! na kaja kweli mwanangu.....juzi ndio the chair of the bunge akimchagua spika! kama vile hataki!
 
Oh My God, Joka wetu, eti wewe ni jipu? Nilikuona jana wakati rais wa Ccm akihutubia bunge la Ccm, joka ulikuwa cool muda wote.Hukujisumbua hata kubamiza meza. Ulikula buyu muda wote. Joka, kwani na wewe ni miongoni mwa majipu? Siku wakikutumbua si utatoka usaha mwingi sana?!!

Utasubiriiiii sana kama mlivyosubiri mtu finyenge aingie ikulu. Holla
 
Mkuu umeliona joka leo? Lilikuwa limejaa,limevimba kitini, linazungusha makengeza kusaka harufu ya ngawira. Good start joka. Wakimbize, kuja washituke...

Duuu! mkuu joka nililiona pale kitini likifanya mambo! Nadhani linajenga uwezo kwanza ili baadae lipige dili ndefu halafu liende mahakamani kuzuia wasilijadili! Daaaa! Hili joka ni nouma!
 
Back
Top Bottom