Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

Joka nimelipa salute,halafu halina kelele wala kimbelembele kama January.litapewa kamati moja nyeti sana bungeni.subiri
 
Am sorry very Joka wangu sikukupongeza mapema kufuatia kuteuliwa kwako kwenye kamati ya mashauri. Congratulations Joka the king. Sio haba. Msako wa noti uendelee. Hao ni sawa na mabeki wa Taifa stars, kuna dakika watalegea tu. Komaa nao.

Happy birthday to you Joka msaka pesa in advance. Maana naweza nikasahau.
 
Wakimbize Jokaaaa! Teh tee te. Sisi wa Bariadi twafurahi eti! Joka the king note seeker!
 
Wherever you are King Kong King Cobra, deal maker, msakapesa. Nimeona trend ya wabunge vikongwe, wachovu kuanza kuaga mapema bungeni. Kwamba hawatagombea tena. Wanaenda kufaidi harakati. Katu usifanye huo utoto. Usiingie mkenge mzee wa cent. Watu wako wa nguvuu bado tuna Imani na wewee mwambaa. Awamu hii hujapiga pesa. Tunaamini next period wataachia tu, and I believe hautafanya makosa. You gonna hit them at it right. One more deal please. One more money scandal please. Hope hautatuangusha the humble hustler himself.
 
Jamii ya kijinga. Inaua wanaokwapua kuku na kuabudu majizi ya mabilioni...Hopulesi !!!
20170401_054327.jpg
 
Back
Top Bottom