Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Inabidi mkapimwe akili maana sio bure
godwini kumshindanisha na chenge ilikua wanamuonea tuKijana Godwin Simba alifika wapi? Mara ya mwisho nilimsikia akiwa analalamika kuwa ametelekezwa na uongozi wa CHADEMA kiasi kwamba hakupata msaada wo wote wa kampeni. Ni kweli? Nilifikiri kwamba ataliangusha joka safari hii...
Bariadi ya Chenge... ndo ulitaka kumaanisha Ong'wise?Viva chenge kwa maendeleo ya Bariadi. Kama amepiga deal na mna ushahidi nendeni mahakamani. Lkn hamuwezi kumzuia kutumia taaluma yake ya sheria katika kutoa ushauri. Na ss tulimchagua kuwa mbunge sio waziri hivyo acheni kujikanyaga. Wana Bariadi tuna imani nae Batiafi ya chenge Tanzania ya Magufuli. Lol
Hosea na joka na ntuzu offsprings wote. Na DPP ni dent wa joka, live long joka, my kinsman.Takukuru na DPP wanamsubiri.
Joka halijui kuongea,..sorry joka, (unajua sana) joka linaamini katika 'pesa inaongea' halafu wapiga kura sisi tulileweshwa na element ya usukuma, unyantuzu...na...Kijana Godwin Simba alifika wapi? Mara ya mwisho nilimsikia akiwa analalamika kuwa ametelekezwa na uongozi wa CHADEMA kiasi kwamba hakupata msaada wo wote wa kampeni. Ni kweli? Nilifikiri kwamba ataliangusha joka safari hii...
Joka ni sawa na buibui, anajua kujinasua na kujitanzua from cob webhaa haa mi nasubiri mahakama ya majizi na mafisadi aliyohaidi mheshimiwa rais je mzee wa vijisenti itamuhusu?
Hahahaa hakyanani huu uzi na michango yake nimecheka sana
Kwani Godwin Simba siyo Msukuma/Mnyantuzu?Joka halijui kuongea,..sorry joka, (unajua sana) joka linaamini katika 'pesa inaongea' halafu wapiga kura sisi tulileweshwa na element ya usukuma, unyantuzu...na...
Aise sijui. Mi nilimsikia kwa mara ya kwanza wakati wa Escrow akigombana na Muhongo. Kumbuka ye ndo alikuwa mwanasheria mkuu WA TANESCO na Escrow ndiyo ilimfanya akafukuzwa kazi. Ni mwongeaji sana na niliamini kwamba angeweza kuliangusha joka Makengeza. Pole yake kwani naamini atakuwa kapoteza mamilioni.Hivi huyu Godwin Shimba ni mtoto wa marehemu mzee Ngwilimi wa Bariadi aliyekuwa SHIRECU kipindi hicho.??
Frankly speaking,Simba yuko vizuri, na alideliver a big challenge kwa joka,the only problem ali miscalculate,..alidhani kutakuwa na kuchorwa kwa jimbo la Bariadi Mjini. Maana Bariadi kuna mamlaka ya mji mdogo. Sisi wa kijijini tulishakunywa damu ya joka,..jumlisha na mchango mkubwa wa Komando Suzy, mke wa joka.godwini kumshindanisha na chenge ilikua wanamuonea tu
Unamaanisha nini kuchorwa kwa jimbo la Bariadi Mjini? Unaongea kishabiki na kidaku daku sana mpaka hueleweki. Jikaze uongee vizuri ueleweke mkuu. Huyo Simba ana makazi hapo Bariadi au alivamia tu?Frankly speaking,Simba yuko vizuri, na alideliver a big challenge kwa joka,the only problem ali miscalculate,..alidhani kutakuwa na kuchorwa kwa jimbo la Bariadi Mjini. Maana Bariadi kuna mamlaka ya mji mdogo. Sisi wa kijijini tulishakunywa damu ya joka,..jumlisha na mchango mkubwa wa Komando Suzy, mke wa joka.