Nyoka wa ajabu

Sasa mkuu anaweza shindana mbio na mimi??
Kwa masihara ya Jf utakuwa unamzidi mbio. Ila omba sana Mungu wako usikutane na huyu nyoka kwenye maisha yako.

Wana visirani sana hawa..

Kuna mmoja aliwahi paramia kioo cha Land cruiser akikusudia kumlenga dereva, hakujua kwamba kuna kioo. Ile ndiyo ilikuwa pona ya yule dereva..
 
huyo ni black mamba,ni nyoka hatari sana(venemous snake),ukiona amesimama ukae mbali kama mita nne maana huwa anastrike kwa spidi ambayo hautegemei,na akikugonga usipopata msaada within 20 minutes unapoteza maisha
 
dk 20 chali,hagongi mara moja,akigonga ukifurukuta anagonga tena..mpaka utulie
Mkuu hili jina laki bhana! Yani unefikiria weeh! Ukaamuwa ujiite hivyo! Au ulichagizwa na jukwaa pendwa la MMU?πŸ˜‚
 
huwa hutazami NatGeo huyo nyoka anakimbia kuliko hata binadamu,na anaweza fika urefu wa futi tatu.Na anauwezo wa kunyanyuka mpaka akafikia urefu flani wa matawi ya miti na akakwea mti
Duuh!!
 
Nitafutie koboko
 
Mkuu hili jina laki bhana! Yani unefikiria weeh! Ukaamuwa ujiite hivyo! Au ulichagizwa na jukwaa pendwa la MMU?πŸ˜‚
sweka lupango..au wee umeelewaje!?..nina shemeji yangu mndengereko anaitwa hivyo,na rafiki yangu mzaramu anaitwa mpiga miti,yupo msanga zalala
 
sweka lupango..au wee umeelewaje!?..nina shemeji yangu mndengereko anaitwa hivyo,na rafiki yangu mzaramu anaitwa mpiga miti,yupo msanga zalala
Kwahiyo anayeswekwa lupango ndo unamuinamisha kwanza. Samahani labda utakuwa Askari magerezaπŸ˜€
 
Huyo ni Black Mamba, nafkiri sauti yake inafabana na jogoo.

Hawa nyoka wanaakili sana ni kama cobra yani hawakupaswa kuishi Africa/Tanzania. Walitakiwa kuishi kwenye nchi za weupe wenye IQ kubwa.
Acha utumwa wa akili wewe!
 
Kuna jamii ya Wahindi wanasema ukikutana na black mamba asipokudhuru akapita zake una bahati sana, na anakutabiria bahati nzuri siku za usoni .
Unaweza ukapata kitu ambacho hukutegemea (zali waswahili wanaita ivyo)
Kama ni kweli mmekutana naye naamini ukifanikiwa kwenye jambo utaleta ushuhuda hapa Jf.
 
Huyo ni Nyoka aitwae Swila! Ukimtazama vizuri utamchanganya na Cobra kwa tabia yake ya kutuna kichwani ni hatari Sana huyo anarusha mate balaa na mgekimbia angewagonga haraka Sana.
Sent from my 4009X using JamiiForums mobile app
 
Yupo Anaitwa Swila anasimama kama Cobra nakurusha mate umbali wa mita 2-5 nimewaona wengi Shinyanga na Arusha.
Koboko. Dalili alizosema mtoa mada ndiyo hizohizo za koboko.
Katika ukanda wetu wa Afrika mashariki, hakuna nyoka yoyote mwwnye sifa za 'kusimama' kama koboko.
Pia wakati akitambaa hutoa sauti kama mlio wa tairi za baiskeli.

Sent from my 4009X using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…