pleo keshasema huyo hana sumu hata ukilala naye poa tu
wa_kiafrika wana viroja, wanaweza kukutana kadhaa porini wakaanza kupika wali "ukihisi harufu ya wali msituni kuwa makini", wa_kiafrika wanapiga manyanga kuagua shida zao - hawa hatari sana kama wachawi - "ukisikia manyanga bila nyimbo porini toka mbio", wa_kiafrika hawaishi hila wanatujua twapenda nyama ya kuku hivyo huwika kama jogoo "kama mazingira ukiyaangalia hayafugiki hata njiwa badili njia".