Nyoka ng'are ng'are

Nyoka ng'are ng'are

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1415240922407.jpg
 
Nyoka bishoo sana huyu! Lazima atakuwa anatumia muda mwingi sana kwenye dressing table!
 
Mmh hii kali kwahiyo wa kiafrika ndo yukoje?

wa_kiafrika wana viroja, wanaweza kukutana kadhaa porini wakaanza kupika wali "ukihisi harufu ya wali msituni kuwa makini", wa_kiafrika wanapiga manyanga kuagua shida zao - hawa hatari sana kama wachawi - "ukisikia manyanga bila nyimbo porini toka mbio", wa_kiafrika hawaishi hila wanatujua twapenda nyama ya kuku hivyo huwika kama jogoo "kama mazingira ukiyaangalia hayafugiki hata njiwa badili njia".
 
Mmmh speechless...!!!! Umeandika kifasihi zaidi pleo
 
Last edited by a moderator:

ukiumwa na nyoka inakuwa vema umuone kupata tiba ya uhakika.
Akiwa na wa rangi nyingi na mstari mwekundu ukifuatiwa na mweusi hana sumu, mwekundu ukifuatiwa na njano ana sumu, pua au kinywa cheusi anasumu kali za kuathiri neva, rangi nyingine sumu mbali mbali.

Nyoka wakubwa mithili ya chatu vinywa vyao vina kemikali zinanukia harufu mbali mbali "mfano wa wali" kuvutia mawindo, yupo moja mfano wa kobra ila hana ngao shingoni ana mkia wa magamba mengi akiutikisa unalia kama manyanga, wapo wenye upanga kama jogoo baadhi wanawika hawa hata wakiwa na sumu ndogo wanaua mapema kwakuwa wanaruka wakilenga kugonga utosi.

Wenye mfuatano makini wa rangi kwa mtindo wa kama huyo kwenye picha au mfumo wa pete wanapatikana kwenye baridi zaidi "kwa wazungu" ila hawa wengine wanapatikana mazingira ya joto ya kitropiki zaidi "kwa wa afrika".
 
Uko vizuri kwa picha hii nimepata elimu nyingi asante sana
 
Sina ushoga na chochote kitambaacho mkuu nishawahi kugongwa na nyoka kidoleni huwezi amini nilikuwa nadhani ni msemo tu kumbe kweli si unyasi tu chochote kikinigusa mguuni bila kukiona nitaruka na kupiga kelele, yaani haielezeki
 
Uzuri wa nyoka sijauona, hata ajipambe vipi nikimuona ni kukimbia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom