Nyoka mzee sumu ile ile!

Nyoka mzee sumu ile ile!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
uploadfromtaptalk1362822744534.jpg
Kuja hapa!
 
kazee katakuwa kameshatafuna viagra tena ya wnyama.kakikubali tuu lazima kakapumulie mashine icu
 
Ni mze lakini nyege iko pale pale. We angalia hapa Tanzania na huko maduniani ni wazee ndiyo wanaongoza kubaka na kutongoza wasichana. Mfano ulio hai, angalia kina Lundenga na kamati yake ya umiss, ama wabunge jinsi wanavyolazimisha kutoka na visichana vidogo (spring chicken) na kuwapa magonjwa ya hajabu kisa laki moja au simu ya bei kubwa.
 
Au yule katibu mkuu wa chama kimoja cha upinzani.
 
Unanichekesha na huyo katibu mkuu asiyekuwa na jina. Wewe mwanike tu, hawa viongozi wetu ni feki mno na ni watu kama wewe na mimi hivyo ule uongozi ni magamba tu lakini nyuma ya pazia ni mafuska kinoma.
 
Au yule katibu mkuu wa chama kimoja cha upinzani.

Au msanii mkuu, mwenyekiti wa kijani, mzee wa mamlo, mamloo... mara chali jukwaani... teh teh teh
 
Back
Top Bottom