Nyoka Mkubwa avuka barabara

Nyoka ili akudhuru ni lazima muwe mnagombania njia, umchokoze au umkanyage,Simba ni mnyama mtata sana!
Ni kweli mkuu nyoka aina ya black mamba(koboko) ni hatari ila hawezi kuwa hatari zaidi ya simba
1:Akikugonga una dakika 20 hadi 30 za kupata matibabu sahihi au unakufa,
2:Akikukomalia anakukimbiza na anakupata sio lazima ajiviringishe sehemu ili akugonge
3:Nyoka wengi akikugonga anaacha meno ila huyo bwana haachi
4:Kiboko yake ni nguchiro,anapiga chenga mpaka nyoka anachoka halafu anamuwahi kichwa
 

Duuuh.......
 

hahaa nyoka ni katili zaidi afu hawana faida
 
Ukiona chatu linazurula ujue linatafuta mawindo, na likiwa halijameza kitu linakuwa korofi sana.
 
mm ningemwona ningezimika nawaogopa sana nyoka na kinyonga hawa viumbe nikiwaona basi mwili mzma nashtuka'
 


Duu ..... hakuna njia mbadala/nyingine ya kuweza kukabiliana nae ? Maana hii ya kujitwika chungu cha moto inahitaji uwe na ujasiri wa ziada.......je akigonga hicho chungu hakipasuki ? nini madhara kwa mbebaji wa hicho chungu ???
 

Jf huwa kuna tamthiliya tamu sana.
 
Kakosa nini hata akanyagwe na gari?

Nyoka ni adui yetu mkubwa toka mwanzo wa vizazi vyetu yeye ndo chanzo cha sisi wanaume kutafuta kwa jasho na wewe kuzaa kwa uchungu ukimuona Mtwange kichwani FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Duu ..... hakuna njia mbadala/nyingine ya kuweza kukabiliana nae ? Maana hii ya kujitwika chungu cha moto inahitaji uwe na ujasiri wa ziada.......je akigonga hicho chungu hakipasuki ? nini madhara kwa mbebaji wa hicho chungu ???
Njia nyingine wanatumia hawa watu wanaokamata nyoka kwa ajili ya masomo na kazi nyingine ,ila unatakiwa uwe mjasiri..Wanatumia kioo kikubwa ,nyoka anagonga kioo akifikiri anakugonga wewe mpaka anachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…