Nyoka Mkubwa avuka barabara

Nyoka Mkubwa avuka barabara

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
1908329_1451779255071251_6883261385203123323_n.jpg
 
Koboko huyo!!!! Tunao wengi sana huku kwetu Katavi. Bora ukutane na simba Ila si huyo jamaa.
Kobogo (black mamba) sio huyo. Huyu ni Chatu (Pythpn) Huyu hana sumu na chakula chake hukipata kwa kuvizia na kukunja kwa nguvu na kukaba. Hukaa sana kwenye milima na maljini. Akiwa majini hukimbia kwa kasi zaidi na kufanya mawindo kuwa rahisi.
 
Mkuu nashukuru,nimejifunza kitu kipya kumbe chatu naye pia anaishi majini!
 
Sio koboko huyo, koboko ni mrefu lakin hata azeeke vp hawez kufikia unene huo, hilo ni chatu halina sumu
 
Back
Top Bottom