fagix
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 739
- 558
Inawezekana pentagon ya umbo LA pembe tanoHaya yote yametokea hukohuko Pentagoni mkuu?

Habari wanajamvi!
Baada ya kumfukuzia mdada mmoja wa kichaga(habiba) mwenye umbo namba nane na sura nzuri ya kuvutia kwa takribani miezi mitatu bila mafanikio.
Nilipokea message ya uyo dada akinitaka tufanye evening walk huku akinipa nafasi ya kujaribu kushawishi mtima wake.
Mwanaume bila kuchelewa nikafika eneo la tukio, lakini kabla ya kuanza evening walk yetu.
Nilizama dukani kwa mangi na kununua chocolate, soft drinks pamoja na PK (maana niliamini kwa asilimia mia moja kuwa ninge pata denda kwa siku hiyo).
Evening walk yetu ikaanza nikampanga Mtoto akapangika vizuri, na mwisho kabisa kuna swali akaniuliza:-
Habiba: "hivi worldboss unaniambia unanipenda je upo tayari kunilinda?"
Worldboss:"mama usihofu yani nitakulinda, nitakutunza pia kukupenda maisha yangu yote"
Basi Habiba kusikia ivyo akanikumbatia, nakunijibu "nakupenda pia".Baada ya hapo tukakunja kona ili turudi mtaani.
Mara paap binti kaona kitu kama nyoka kaanza kupiga kelele huku akirukaruka na kunishikilia shati.
Mzee nikala mita kama Hussein bolt , manzi kang'ang'ania shati nika msukuma kulekule kwenye nyoka akaanguka Mzee nikauchana mpaka nyumbani huku nikihema juu juu kama funza.
Baada kama ya nusu saa naona text akiniambia hauwezi tena kuendelea na Mimi kwakuwa sitoweza kumlinda kama nilivyoahidi.
Aisee imeniuma sana, naombeni ushauri wanajamvi ntampataje habiba wangu.
Nazidi kugundua kwanini serikali inakataza uvutaji wa bangi.
Mkuu usiombe yakukuteSikushangai kijana, nyie wanaume wa Dar mnasikitisha sana. Mnaogopa hata nzi tu sembuse huyo nyoka? Mnasikitisha mno.
Hapana sivuti bangi mkuuWoga wake hautokani na uvutaji bangi, ni mwanamme wa Dar huyo kijana.
vipi mkuuWe jamaa
ya mirembeMkuu, kwanza tambua tu una 1 kati ya magonjwa yanayoligharimu taifa
Mkuu usiombe yakukute
Hapana sivuti bangi mkuu
basi mkuu uko vizuriNilisha okota nyoka lukuki na kupambana na chui ujanani mwangu wakati nachunga ng'ombe wa familia sembuse hako kamjusi ka sumu? Adui mkubwa wa nyoka ni mwanadamu na ndiyo maana nyoka anatuogopa sana. Nyoka hana madhara sana kwetu, anakung'ata tu pale anapo ona hana jinsi inabidi ajilinde ila atafanya chini juu akukimbie kwa sababu anajuwa utamuua tu. Mie nilikuwa napishana nao sana njiani na nilikuwa siwaui, hata cobra kuna siku tulikutana uso kwa uso….akawa kasimama ananiangalia kama nitakwenda kumshambulia. Nikasimama kumsubiri apite na akapita tena akikimbia kuhofia kuuliwa.
Lakini mkuu kumbuka Mimi ni muenyeji wa babatiNajuwa na ndiyo maana nilimwambia jamaa kuwa we si mvutaji bangi ila ni mwanamme wa Dar tu. Nyie mnafahamika kuogopa hata sisimizi kuwa mking'atwa nao mtavimba miguu.
usiombe yakukuteHaha
Bila shaka ulishaliwa ua huwezi ukawa unawaza kizembe hivi..Mbona unanitisha mkuu
OK....sawaBila shaka ulishaliwa ua huwezi ukawa unawaza kizembe hivi..
Upo DSM??Habari wanajamvi!