kwa ufahamu wangu mdogo cwezi kujua ni nyoka aina gani mkuu! Ila unaweza kumjua nyoka mwenye sumu kwa kuangalia macho yake..wataalamu wanasema nyoka wote wenye sumu wanakuwa na macho yenye maumbo ya yai..yani ukiangalia macho yake yanakuwa yana umbo la yai na nyoka wote wenye macho ya duara hawawana sumu kaka!Wadau naomba kujulishwa kuna nyoka flan hv nimefanikiwa kuonana nao mara nying kwa mara ya mwisho ilikuwa leo ndipo nilipomuona nikatafuta fimbo na kumlushia kwenye majani Hawa nyoka wana rangi kama udhurungi ambayo haijakolea ukiwaona ni kama minyoo wakubwa hata vichwa vyao havieleweki ni kama hawana na huwa hawapo shapu wanaangaika na ngozi yao inaonekana kuwa nyororo kama ya minyoo hv sijui mnaowafahamu nyoka mmenipata je hawa nyoka wanaitwaje na je wana madhara yoyote?
Wadau naomba kujulishwa kuna nyoka flan hv nimefanikiwa kuonana nao mara nying kwa mara ya mwisho ilikuwa leo ndipo nilipomuona nikatafuta fimbo na kumlushia kwenye majani Hawa nyoka wana rangi kama udhurungi ambayo haijakolea ukiwaona ni kama minyoo wakubwa hata vichwa vyao havieleweki ni kama hawana na huwa hawapo shapu wanaangaika na ngozi yao inaonekana kuwa nyororo kama ya minyoo hv sijui mnaowafahamu nyoka mmenipata je hawa nyoka wanaitwaje na je wana madhara yoyote?
Mkuu, hapo bold inaonekana ni worm snake, ila kweli itakua ngumu kua na uhakika 100%.kwa ufahamu wangu mdogo cwezi kujua ni nyoka aina gani mkuu! Ila unaweza kumjua nyoka mwenye sumu kwa kuangalia macho yake..wataalamu wanasema nyoka wote wenye sumu wanakuwa na macho yenye maumbo ya yai..yani ukiangalia macho yake yanakuwa yana umbo la yai na nyoka wote wenye macho ya duara hawawana sumu kaka!
Ngoja aje atwambie kama ni huyu, mi nimeweka kwa kusoma description yake tu...Mwali umeondowa enigma ya swali kwa kuonyesha picture. Lakini bora. Umshaiuwa thread hii.
House Snake or Worm Snake
Kama amekaa kama huyu kwenye picha basi worm snake
Hawa nyoka wanaweza fugwa ndio wakaitwa House Snake, hakuna report yoyote ya kitabibu kuhusiana na mtu yoyote aliye wahi kuumwa na aina hii ya nyoka, kiufupi hawana sumu, chakula chao kikuu ni Minyoo.Thanks kwa kunielewa kwenu MWALI na X-PASTER Exactly ni huyo nyoka mnayemsema na mliyenionyesha namaanisha WORM SNAKE hapo sawa na je ana maelezo gani kwa sifa zake? na pia mr X-PASTER Umeongeza na huyo house snake wanafanana tabia au?