Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,763
- 2,364
....mkuu ni janga la kitaifa.....tunasubiri sizonje atangaze.....ungesema dawa ya nguvu za kiume uone huko pm
Utamu mpaka kisogoniKwa supu hiyo
Sokoni, halafu wamechanganya na Samaki!
Mie Mzee wa kupenda Samaki hapo naweza ingia cha Kike iwapo nakuta ameshakatwakatwa
Hiyo itakuwa likasi au kolowezi congo.... ....
Utamu mpaka kisogoni
Duh!!na hapo pembeni naona kuna visamaki..... ....