Nyimbo za Msanii Kundambanda zinasikilizwa?

Nyimbo za Msanii Kundambanda zinasikilizwa?

Dah n meickia man KUDA MBANDA N ANAMC MAMO,z weke na hzo zngne wenye steshen wana ogapa fungiwa nadhan
 
thubutu nani anapenda kufungia kakituokake ka redio, kuna huo mmoja anakuwa kama anaongea na nyerere ni kiboko kamchana sana che nkapa!!!!!!!!!!!!
 
dah haka ka wimbo katamu kweli kweli
massage sent, nadhani wanaotakiwa kuwa screened ni basata na sio vituo vya redio
kama wapo watangazaji na madj humu hebu kongolini haka kanyimbo mapema
sio mngoje hadi magamba wangoke ndio mjipendekeze kuzicheza hewani
 
Mwenye nyimbo zake atuwekee zote tuzisikilize.Zinhamasisha hata tuliolala usingizi.
 
Hivi wadau hizi nyimbo za Msanii wa kipindi cha vituko show cha channel 10 (kundambanda zinarushwa kweli hewani ? ) naomba mnijuze , nina nakala 5 lakini nawapa moja wanajavi msikilize.

Mkuu Millanzi D naomba utuwekee na hizo nyingine, tafadhali
 
hii tapatalk imenizingua, ninazo nyimbo zake kadhaa, kundambanda ni noma, anasema "miaka 51 ya uhuru lami haijafika kusini, miezi 8 gas kutoka kusini ishafika bagamoyo"
Ni maneno makali mwanzo mwisho.
 
Huyo jamaaa mtwra wanamkubali vibaya nilipokuwa huko mwishoni mwa mwaka jan; vijana wengi wa huko wanasilikiza nyimbo zake via simu
 
Huyo jamaaa mtwra wanamkubali vibaya nilipokuwa huko mwishoni mwa mwaka jan; vijana wengi wa huko wanasilikiza nyimbo zake via simu

Nakuona Mkuu Avtar yako ina 'dance' bila kuchoka kutokana na kigongo hiki, tu pamoja msanii huyu anaendelea kufikisha ujumbe kwa magamba
 
2015,na harakati hizi za Gesi Kwanza,Kusini panakuwa pagumu kwa CCM.LABDA WAIBE KURA.!!!

Hebu fikiria nyimbo hii na zingine zipo kwenye vichwa vya wananchi,siku zinahesabika CCM itabidi wakubali ukweli kuwa wameshindwa kutimiza dhamira ya dhati ya kuleta maisha bora kwa wananchi wa Kusini na Tanzania kwa ujumla.
 
Hivi wadau hizi nyimbo za Msanii wa kipindi cha vituko show cha channel 10 (kundambanda zinarushwa kweli hewani ? ) naomba mnijuze , nina nakala 5 lakini nawapa moja wanajavi msikilize.

Nyimbo hizo zingine ziweke hapa vilevile,wengi tulikuwa hatujui kwamba kumbe kuna hisia kali zenye kufikisha ujumbe kwa watawala.Ukweli wa mambo yanayoendelea yanawasilishwa vizuri na msanii huyu.
 
Nakuona Mkuu Avtar yako ina 'dance' bila kuchoka kutokana na kigongo hiki, tu pamoja msanii huyu anaendelea kufikisha ujumbe kwa magamba

yeah mkuu avatar inamsapoti wakundambanda ni balaaaaa
 
Back
Top Bottom