Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,717
- 4,412
Hiyo umesema wewe, lkn si kweli!Sheteni yupo makanisani na misikitini kuliko kwenye nyumba za starehe
Itakuwa akili iliyolemaaNi bora hizo nyimbo zipigwe kwenye kumbi za starehe Na sisi walevi tumkumbuke mungu kuliko kukaa kanisanii kuwaza pombe
Kula chuma nini [emoji23][emoji23][emoji23]Kula CHUMA [emoji91][emoji91][emoji91] Ikooo
Ukweli ni nnHiyo umesema wewe, lkn si kweli!
Yani MKONO WA BWANA ikukute uko vyombo aseee kuna kitu ukisimuliwa huwezi elewa ladha yake 😁Kuna dude limeimbwa na Zabrone Singers linakwenda kwa jina la "MKONO WA BWANA" acha kabisa. Mpaka baadhi ya ndugu zetu Waislam wanausikiliza
Huu wanaupiga mwisho, kama wa kufungia show.[emoji3]Yani MKONO WA BWANA ikukute uko vyombo aseee kuna kitu ukisimuliwa huwezi elewa ladha yake [emoji16]
Huu wimbo mkono wa bwana wanaupenda 😀 niliona hata harusini pia watu waliolewa Ndo wanaimba balaa na kucheza🤣🤣🤣Mara ya mwisho hili songi nimepigiwa pale mianzini A town december mwaka jana sijui baa gani ile....aseee vyombo vimekolea yani niliinuka kwa utamu niliinjoi mnoo halafu akamalizia na mkono wa bwana alooooo acha tu.
🤣🤣🤣Had kunamtu nimekumbuka akiwa vyombo lakini asimame acheze huo wimbo 😂😂😂Yani MKONO WA BWANA ikukute uko vyombo aseee kuna kitu ukisimuliwa huwezi elewa ladha yake 😁
Hata mm naupendaga aisee😀Huu wanaupiga mwisho, kama wa kufungia show.[emoji3]
Hakika tunakuwa tumeuona mkono wa bwanaHuu wanaupiga mwisho, kama wa kufungia show.[emoji3]
🤣🤣🤣🤣 Una vibe acha kabisaHuu wimbo mkono wa bwana wanaupenda 😀 niliona hata harusini pia watu waliolewa Ndo wanaimba balaa na kucheza🤣🤣🤣
Lazima zipigwe baa ndipo kuna wana wapotevu...ili wamrudie mungu....ndio maana yesu mwenyewe alikuwa anawatafuta wenye dhambi ili awaokoe..hata akirudi duniani sehem ya kwanza ataanzia kidimbwiiiiiiKwan dvj nasmiletz unalisimeaje hili
Ukimaanisha???MATHAYO 7
Kuhusu kuwahukumu wengine
(Luka 6:37-38,41-42
1“Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu;
2 kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu.
3 Kwa nini wakiona kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?
4Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako?
Ikiwa ni kwa kazi hiyo basi hazina tija, maana zinapigwa kila siku na mambo ni yale yale!!!Lazima zipigwe baa ndipo kuna wana wapotevu...ili wamrudie mungu....ndio maana yesu mwenyewe alikuwa anawatafuta wenye dhambi ili awaokoe..hata akirudi duniani sehem ya kwanza ataanzia kidimbwiiiiii
Unamuomba Mungu huku umelewaTumeuona mkono wako bwana... ukiwa mitungi una vibe sana
Mwaka juzi tulienda club moja hiv,aisee ilipigwa hii mida ya saa kumi usiku ilikuwa balaa! Halafu Dj akaongezea na Hakuna mungu kama wewe... nilishangaa sn vile watu walilipuka shangwe wakiwa nyingiiiTUMEUONA MKONO WA BWANA , ASEEEEE HILI SONG LINA BAMBAAAAA MNOOOOOO