Nyimbo za Dini sehemu za Starehe

Nyimbo za Dini sehemu za Starehe

ILe nyimbo ya tumeuona mkono wako bwana mara ya kwanza niliisikia club ambiance, ilipopigwa wale malaya na mashoga wanaojiuza walisimama wote kuimba na ikarudiwa mara tatu.

Tangu hapo nikaipenda na nikaanza kumsifu Mungu kupitia huo wimbo. Bar ni forum tuu kama forum nyingine
 
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.

Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.

Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.

Kuna mwakampya iligongwa "NIMEUNA MKONO WAKO BWANA" Bar HAKUNA MTU ALIKAA KWENYE KITI HASA UKIZINGATIA ILIKUWA SAA.00GMT
 
Kwa kifupi hujui, ukiwaka halafu let say mchongo flani umetiki, unajihisi kama last born wa Mungu, ngoma ya kumsifu ikipigwa unaweza omba dj arudie mara 2.
 
Nyimbo za kina masanja,Rose muhando,bukuku na Gosbert dogluck na zenyewe unZiita nyimbo za dini uko serious kweli we jamaa
Mi Wimbo wowote unaomtaja Yesu na Yehova najua ni nyimbo za dini.
 
Kuna nyimbo kali sana za gospel zinafaa popote ili kutuasa, kutupa furaha, kushukuru, kutupa matumaini, kufariji n.k mfano nyimbo hii amejibu maombi

We mtoa uzi vipi babu izo nyimbo zinatakiwa zipigwe uko uko bar wale walevi ndo wanaohitaji kukumbushwa unataka zikapigwe church tena inatakiwa wasikilizishwe kondoo waliopotea
 
WANAOZIIMBA TU NI WATU WA SHETANI FULL KUJICHUBUA NA WENGI WAO HAWANA NDOA NA HAWASALI TENA NI WAZINZI WA KUTUPWA,HAPO UNASEMAJE?

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.

Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.

Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Yesu alikuja kuwatafuta walio potea.ili warudi kundini.
 
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.

Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.

Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Hili neno shetani unajua maana yake?tafuta kwa asili ya neno hili kisha maanake kisha uje hapa tueleze halali wa kwaya wanazo imba wakina muando
 
Back
Top Bottom