Yaani Mwamposa ndio kigezo chankutolewa mfano huku mnamuita mtu.wa shetani! Mnajikanganya.Waulize, maama Yesu alikaa hayo mazingira, uliza kama kuna mtu ana namba ya Mwamposa
Pia kuna sehemu ntakupa na direction km upo Dar maeneo ya Airport upande wa Pili wa barabara kuna Bar & Guest House moja nyuma ya Sheri kila JUMAMOSI wanajumuiya hufanya ibada hapo kila JUMAMOSI na Jumapili pia hua kuna ibada ndogo hufanyika asubuhi kwenye ukumbi wa hio Bar watu hukusanyika na kufanya maombiMbona hukuti kaswida zinapigwa Bar, au hakuna waislamu walevi????
nilichomaanisha ni kuwa hizi nyimbo hazijalishi zinaimbwq na nani, zinasimama kama alama mojawapo ya dini husika, zinapopigwa sehemu zile ni kama kudhalilisha dini husika na kufanya vya dini husika kuonekana si ya maana.
Ingekuwa hivyo hizo bar zingefungwa kwa kupoteza wareja. Mtu akishaingiwa na neno harudi tena Bar, labda arudi kuwatoa wenzake.Upako kila kona
Lini tena unakujaMara ya mwisho hili songi nimepigiwa pale mianzini A town december mwaka jana sijui baa gani ile....aseee vyombo vimekolea yani niliinuka kwa utamu niliinjoi mnoo halafu akamalizia na mkono wa bwana alooooo acha tu.
Wewe umesema Bar hapafai kufanya ibada kwa hio unajipinga mwenyewe ?Muda huo shughuli za bar zinakuwa zimesimama.... na wanapofuata hapo ni venue tu, sasa waende jioni, mida ya saa moja hadi saa tatu usiku, itatosha.
Shida ni kuwa huelewi point ninayoiongelea, rudi kwenye suala la msingi, kuwa Nyimbo za dini zinapigwa wakati wa usiku watu wanalewa. Sikuzungumzia Bar kama jengo bali kwanile shughuli ya unywaji na uuzwaji wa pombe unaofanyolika, hasa nyakati.za usiku.Wewe umesema Bar hapafai kufanya ibada kwa hio unajipinga mwenyewe ?
Yaani Mwamposa ndio kigezo chankutolewa mfano huku mnamuita mtu.wa shetani! Mnajikanganya.
Na wote waliomtaja humu!! Maana ametajwa kama mara kumi hivi.Mimi na nani?
Na wote waliomtaja humu!! Maana ametajwa kama mara kumi hivi.
AmenUwe na mafanikio katika kazi zako na kampeny za kufujuza miziki Bar..
Zabron singers ya umenitoa chini chini Mara ya kwanza nimesikilia pale picnic na wale mabaamedi wenye matakio makubwa wakawa wanaocheza kwa mduaraMara ya mwisho hili songi nimepigiwa pale mianzini A town december mwaka jana sijui baa gani ile....aseee vyombo vimekolea yani niliinuka kwa utamu niliinjoi mnoo halafu akamalizia na mkono wa bwana alooooo acha tu.
kweli sidhani kama neno la mungu lina mipakaUsijali kwa hilo! Nyimbo za Injili ni sehemu ya kuhubiri wenye dhambi.
Ukimwona Mlevi anaimba nyimbo za dini mpongeze kabisa.
Huwezi kujua kuna Walevi ambao wanaweza kukutana na Yesu kwa njia ya nyimbo.
Sheteni yupo makanisani na misikitini kuliko kwenye nyumba za stareheKusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.