black abdu
Senior Member
- Dec 2, 2022
- 157
- 214
- Thread starter
-
- #61
Mtu akishakunywa anatoka kwenye hali yake ya uelewa wa kawaida. Na ndio maana kuna wengine ili watende dhambi wanakunywa kwanza ndio wanapata ujasiri wa kutenda.Binadamu ni muelewa ndo maana watu wanatubu ..
Mwamposa yule unaemuona historia yake alianzia kuhubiri Bar pale Sinza Kumekucha akakimbiwa na mkewe ambae ana mtoto mmoja kwa kukudokezea tu usiyoyajua, kwa hio angalia unaposema Bar sio sehemu ya ibadaSijasema dini ninkanisani tu! Umenisingizia hapo, sitaja jila la sehemu yoyote ya ibada. Najua dini na ibada inaweza kufanyika popote kwa sharti pawe pasafi. Nakataa Bar si sehemu mojawapo.
Injili inahubiriwa popote penye watu wanaohitaji chakula Cha kiroho, unajua mfumo wa Roho unavyofanya kazi ukiondoa mfumo wa Mwili na Nafsi ?Mtu akishakunywa anatoka kwenye hali yake ya uelewa wa kawaida. Na ndio maana kuna wengine ili watende dhambi wanakunywa kwanza ndio wanapata ujasiri wa kutenda.
Bado nakataa Bar si sehemu ya ibada. Nenda kaulize kwenye ile bar aliyokuwa anahubiri, wateja walikuwa wanalalamika kuwa jamaa walikuwa anawarusha stimu, na hata wakaanza kupungua.Mwamposa yule unaemuona historia yake alianzia kuhubiri Bar pale Sinza Kumekucha akakimbiwa na mkewe ambae ana mtoto mmoja kwa kukudokezea tu usiyoyajua, kwa hio angalia unaposema Bar sio sehemu ya ibada
Basi na watu wa Jumuiya waanze kuweka vikao vyao kwenye bar za jirani na wanapoishi, wapeane neno huku wanapata moja mbili.Injili inahubiriwa popote penye watu wanaohitaji chakula Cha kiroho, unajua mfumo wa Roho unavyofanya kazi ukiondoa mfumo wa Mwili na Nafsi ?
Shida ni kuwa kwa uwelewa wetu ikipigwa Kaswida inahusishwa na Uisilam na Ikipigwa kwanya/gospel inahusishwa na ukristo, inakuwa kama alama isiyo rasmi ya dini hiyo. Ndio maana kama ulisikia Mufti aloyoa tamko kukataza wanapiga kaswida na kucheza kama miziki mingine.Akuna nyimbo za dini zote ni nyimbo za kidunia na zmeimbwa na wahuni na maraya tu
Waimbaji wanavaa modo wanavaa vimini na wao wanacharge mtu kuangalia shoo yao na bado kuna wengne wanalilia pesa za mirabaha za basata kwaiyo hao ni wasanii km walivyo wasanii wengne na ndo maana wanamatendo km ya wasanii wengne mnaowaitwa wa kidunia
Narudia nukta yangu kuwa Pombe ni moja ya zana za shetani kumuingiza mtu katika uasi, na huwezi kukataa kuwa bar ni sehemu moja pana mambo mengi ya dhambi hata umalaya unafanyika sana Bar. (Ila si sehemu pekee panakofanyika umalaya). Na ndio hukuti muuza bar amevaa kiheshima, lazima wavae nguo taiti na wenye bar wanatafuta wadada wenye sura na shepu zao kama wahudumu.Nani alikwambia bar ni sehem ya shetani na jeshi lake kufanya kazi? Na kama ni sehemu kweli ya shetani na jeshi lake kufanya kazi, huyo shetani anawezaje kufanya kazi huku akisikiliza nyimbo za kumsifu Mungu, hasimu wake?.
Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Basi na wachungaji waende Bar wakakae na wapiga gambe kuwapa neno!Yesu mwenyewe alikaa katikati ya starehe kwa Malengo, unakereka nini? Amekuwa kwa waliopotea, wako humo.
Ndugu muandishi.. unaumia ukiwa wapi?[emoji23]Kusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Basi na wachungaji waende Bar wakakae na wapiga gambe kuwapa neno!
Mbona hukuti kaswida zinapigwa Bar, au hakuna waislamu walevi????Yesu mwenyewe alikaa katikati ya starehe kwa Malengo, unakereka nini? Amekuwa kwa waliopotea, wako humo.
Tembea uone kuna baadhi ya Bar na Pub hufanywa sehemu ya Jumuiya na watu wa madhehebu hususani hawa wa Lutheri km sijakosea waprotestant nimeona mara kadhaa wakiendesha Jumuiya kwenye Bar na Pub fulani asubuhi maana pana kaukumbu na viti vya kutosha,Basi na watu wa Jumuiya waanze kuweka vikao vyao kwenye bar za jirani na wanapoishi, wapeane neno huku wanapata moja mbili.
Kwa nini sasa hivi hawaendi???Hakuna ubaya.
Usijali kumbuka yesu hakutususbiri mbinguni ili atuokoe bali alishuku kwenye dunia ya djambi akaishi kula na kunywa na wadhambiKusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu.
Kwenye hizi Bar, zinapopigwa nyimbo hizi wakati watu wamelewa, naona ni kama kumkebehi Mungu.
Na pia ni kuzikosesha heshima nyimbo hizi, ambazo zilipaswa kuzikumbusha nyoyo Utukufu wa Mungu.
Kwa nini sasa hivi hawaendi???
Muda huo shughuli za bar zinakuwa zimesimama.... na wanapofuata hapo ni venue tu, sasa waende jioni, mida ya saa moja hadi saa tatu usiku, itatosha.Tembea uone kuna baadhi ya Bar na Pub hufanywa sehemu ya Jumuiya na watu wa madhehebu hususani hawa wa Lutheri km sijakosea waprotestant nimeona mara kadhaa wakiendesha Jumuiya kwenye Bar na Pub fulani asubuhi maana pana kaukumbu na viti vya kutosha,