πππMkuu, huu wimbo nimeupachika Qubase 10.5 hapa studio kwangu ili nifahamu sauti yako halisi uliyoingizia verse, ngoma imeshindwa kugawanyika kabisa. Kiufupi haina data
Kwa utaalamu wangu wa teknolojia, nikatumia Blackbox ai ili nigundue imekuaje kuaje nikagundua wimbo umeimbwa na ai system ya Suno
Mkuu, tafuta hela uingie studio. Kama hujui kuimba mtafute hata Jay Combat, uwe kama DJ Mushizo tu
Acha kusumbua vichwa vya wanaJF, acha kusumbua ai,
Acha uchawa