Nyimbo ya Lil' Wayne "Mirror" ina ujumbe mkubwa sana

Nyimbo ya Lil' Wayne "Mirror" ina ujumbe mkubwa sana

Lets play a game, taja wimbo mmoja wa Tupac wenye madini then nakujibu kwa wimbo wa wayne hadi mmoja wetu atakapoishia njiani.

Tupac mwana harakati tu yule, ni kama hapa Tz Ushindanishe fid q na roma
Usije ukafanya hilo kosa tena
The lyrical king Lesane hawezi linganishwa na Dwyane.
Narudia tena usijichanganye kamwe.
 
miaka ya 2010s niliwahi kuamini hakuna rapa atawahi kumfikia huyo mwamba ulikua huniambii kitu juu ya YMCMB
 
Nipo hapa nasikiliza nyimbo ya mkali kutoka USA Lil Wayne inaitwa Mirror

Hii nyimbo kaelezea kwa kutumia neno mirror akimaanisha kioo kuwa katika haya Maisha tunaishi huwa Kuna nyakati tunapitia ziwe nyakati nzuri au mbaya ila mtu pekee ambaye atasimama na wewe ni yule ambaye huwa ukijitazama kwenye kioo unamwona ndo hawezi na hatoweza kukuacha katika nyakati zako zote za Maisha yako.

So Lil Wayne anamaanisha unabidi kumpenda Sana rafiki yako ambaye huwa ukijitazama kwenye kioo unamuona ambaye ndo wewe.

Hivyo tunabidi kujipenda kujikubali sisi Kama sisi na tunapokuwa katika fa** ck days we need to be our own supporter
Kwangu itabaki kuwa moja ya nyimbo bora za Wayne na permanent track kwenye playlist zangu.

oldies hip hop.jpg


Uh, I see the truth in your lies
I see nobody by your side
But I'm with you when you're all alone
And you correct me when I'm looking wrong

I see the guilt beneath the shame
I see your soul through your window pane
I see the scars that remain .......................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom