Nyimbo ya kudedicate kwa mpenzi


Pia kama anakuzingua waweza mpa kitu cha Boyz 2 Men- doin just fine. Au uncle Sam-never wanna c u again.
 
Kama anataka kutangaza nia...Thank you in Advance wa Boyz II Men
Ila kama anataka kuchapa na kutambaa asithubutu ku dedicate huu wimbo maana atampa matumaini hewa binti wa watu..

Pia kama anakuzingua waweza mpa kitu cha Boyz 2 Men- doin just fine. Au uncle Sam-never wanna c u again.
 
Lionel Richie The only one (Only You...)

Usidedicate tu uwe unamuimbia pia bana...hata mkitemana lazima akukumbuke ...(tena kama una kibezi utakuwa umemroga kabisa)
 
Deep River Woman - Lionel Richie
I call it love - Lionel Richie
You're beautiful - James Blunt
You come to my senses - Chicago
Total eclipse of the heart - Bonnie Tyler
Take me to your heart - Westlife
When you say nothing at all - Ronan Keating
 
yaani nimezipata sasa naziorodhesha kwenye list, ntakuwa namdedicate mmoja baada ya mwingine hadi huu mwaka uishe
 
ila mm napenda sana nyimbo za mwanamama Juddy boucher nadhani wengi hamtamfaham....yaani hana nyimbo mbaya zote zitakukamua chozi

aanza na hii ya lovely paradise au last night we meet asipoelewa mpe hiki kidonge cha i can't be with u tonight atalia sana km unazihitaji nitafute
 

hiyo I cant be with you tonight ninayo ila huwa natafuta nyimbo za huyu mama hata albums zake sijapata. Hata mi namkubali huyu mwanamama
 

Hahahaaa kitu Can't be with you Tonight. Dreaming of a little Island, Tears on My Pillow ni baadhi ya vitu vikali sana vya Judy Bila kusahau Ile Take your memories with you when you go
 
Hahahaaa kitu Can't be with you Tonight. Dreaming of a little Island, Tears on My Pillow ni baadhi ya vitu vikali sana vya Judy Bila kusahau Ile Take your memories with you when you go

you close the door, mr. dream maker, i can't stop loving you...ni kwi kwi huyu mama
 
Kuna hii ya Lucille ya Kenny Rogers hahahahahaaaaa utalia hasa kama ndio umenigwa chini
 

Au kama unamwamini sana mpe ule wa jonh komba wa niniimani nakikwete iyahohay .Kikwete kwelihh kweli kwelikwelihh kikweta
 
you close the door, mr. dream maker, i can't stop loving you...ni kwi kwi huyu mama

Hahahahahaaaaa umenifanya nitafute YouTube faster nijiliwaze aiseee Kuna demu aliniingia moyoni sitakaaaa nisahau aiseee. Mr. Dream Maker na You close the door
 
Nadhani huyu dada alikua ameachika aiseee au Dah alikua expert kwenye mambo ya kufarijiana
 
Watafute wasanii hawa
1) Michael bolton.
2) Elton jonh.
3) brian mc knight.
4) Joe thomas.
5) Enriq eglesias.
6) Roben stadard.
7) Mariah carey.
8) witney houston.
9) Vanesse wilium.
10) monica.
12) celine dion.
13) Fantasia.
14) Brand.
15) Boyz 11men.
16) All 4 one.
17) back street biyz.
18) Jarge adge.
19) boy zone.
20) west life.
Tafuta nyimbo zao hao jamaa.
 
We unahangaika kutafuta nyimbo wenzako wanahangaika kupata accnt namba yake. Jipange!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…