Nyimbo kali za kuingilia ukumbuni kwa maharusi

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,802
Mwaka 2017 ndio unaishia, inshallaaah

Hii ni thread special ya kuweka nyimbo nzuri za maharusi kuingilia ukumbini, wale wa masihara ambao mtasema wimbo wa "CCM mbele kwa mbele" "nakupenda tu by Dudubaya" nk kausheni.

Wajuzi wa nyimbo mwageni hapa, God win naona umeshapitwa na wakati.
 
Unataka kuvuta jiko nini
 
"Mi nataka kuwa na weee, kuwa na wee tuu.

Mi nataka kuwa nawee, kuwa na wee tu."

Huu wimbo unaitwaje na ni wa msanii gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…