Nyimbo 3 bora za Amapiano Tanzania, na tatu mbovu zaidi

'
20210702_171506.jpg

Lengo ni kwa huyu.
 
Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,

Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo
3. Sadakalawe harmonize
4. Kamseleleko - Mbosso

Mbaya Zaidi
1. IYo diamond ft vocalist
2. amapiano - Baba Levo
3. Zezela nyoko - Baba Levo ft rayvanny

Ukweli unauma, nyimbo kuwa na views wachache si kwamba mbaya.
Embu sema sasa
Umefeli hapo!

Bangers ni hizi:
1.Mama Amina
2.Anajikosha
3.Una sh.ngapi
4.Iyo

Hizo zingine zote utopolo tu!
 
Kwangu mama Amina ni namba 1
ikifatiwa na Anajikosha /nina hamu ya kutooo toto ikishika no3.. no 4 ni hio ngoma Iyo unaiona iyo, ila wasauzi wamenfunika sana Diamond hasa focalistic.... zingine hata kuzijua sizijui kwakweli!
 
Back
Top Bottom