Nyimbo 15 bora za HIP HOP kati ya 2000 na 2010

Nyimbo 15 bora za HIP HOP kati ya 2000 na 2010

Nataka nionane na raisi,nataka nimweleze kwamba mimi,nimempenda sana binti yakeee-qchief huyoo,ndugu yake qchillah
 
mziki ulikuwepo miaka hiyo jamani. No Kiki no remix. Ukija huku jafarai anakwambia nipo bize e, mara Afande sele mkuki moyoni, mara TID kaja na ngoma gani sijui, mara m dog katoa kali tena, yani top 10 ya miaka ile balaa. Daaah yule dada Enika alikua noma sana. huku j de nae kaliamsha. Big up kwa wakongwe wote waliofikisha mziki hapa ulipo
 
15. Dar-Es-Salaam stand up -chid benz
14.Anakuja - Sister P
13. Hayakuhusu - Rah P
12. Stimu zimelipiwa -Joh makini
11. Bila sanaa -Imamu Abbas ft Juma nature.
9. Ni hayo tu - Fid q
10. Wauguzi -Wagosi wa kaya
9. Propaganda -Fid Q
8. Mchizi wangu remix.
7. Ukisikia paa remix - Jcb ft Jay moe & Fid q
6. Mtazamo - Afande ft sollo & prof J
5. Mwanza - Fid Q
4. Ndiyo mzee & Kikao cha dharura -Prof J.
3. I'm Proffesional - Fid Q
2. Alikufa kwa Ngoma - Mwana FA
1. Darubini -Afande selle.

Nyimbo nyingine 5 za bonus ni;

Maisha ya boarding - Jay mo
Binti mlokole - Suma G
Asali wa moyo -Inspector Haroun
Kighetogheto -Juma nature
Mkuki moyoni -Afande selle

Vigezo nilivyotumia ni
. Ujumbe wake ulivyopokelewa katika jamii
. Durability
. Flow
. Production ( vocal, mixing and mastering)
. Upekee wa wazo (idea)
. Zikipigwa leo club lazima watu waamke.
Hiyo maisha ya boarding inanikumbusha sana maisha niliyoishi kilimanjaro boys secondary daah kimeimbwa kila kitu
 
15. Dar-Es-Salaam stand up -chid benz
14.Anakuja - Sister P
13. Hayakuhusu - Rah P
12. Stimu zimelipiwa -Joh makini
11. Bila sanaa -Imamu Abbas ft Juma nature.
9. Ni hayo tu - Fid q
10. Wauguzi -Wagosi wa kaya
9. Propaganda -Fid Q
8. Mchizi wangu remix.
7. Ukisikia paa remix - Jcb ft Jay moe & Fid q
6. Mtazamo - Afande ft sollo & prof J
5. Mwanza - Fid Q
4. Ndiyo mzee & Kikao cha dharura -Prof J.
3. I'm Proffesional - Fid Q
2. Alikufa kwa Ngoma - Mwana FA
1. Darubini -Afande selle.

Nyimbo nyingine 5 za bonus ni;

Maisha ya boarding - Jay mo
Binti mlokole - Suma G
Asali wa moyo -Inspector Haroun
Kighetogheto -Juma nature
Mkuki moyoni -Afande selle

Vigezo nilivyotumia ni
. Ujumbe wake ulivyopokelewa katika jamii
. Durability
. Flow
. Production ( vocal, mixing and mastering)
. Upekee wa wazo (idea)
. Zikipigwa leo club lazima watu waamke.
Kala pina- mstari wa mbele

Joh makini - hao
Joh makini - chochote popote
Joh makini- mfalme
Joh makini- niaje nivipi ?
Blac - kwa masela
Langa- ninaposimama
Babuu- kimbia

Aisee hazipo hata sub????
 
Mbele kwa mbele - Dj Yusuph
Mtoto wa kiume - Geez mabovu
Nilipotoka - Geez Mabovu ft. Joh makini
Mimi - Fid Q, Geez Mabovu, JayMoe
Cheza kwa step - Jaymoe ft. Ngwair
Ghetto langu - Ngwair
Speed 120 - Ngwair ft. Chid Benz
Umenisoma - Chid Benz
Hao - Joh Makini
Ndo zetu kuwakilisha - Nako 2 Nako
Mchizi wangu - Nako 2 Nako
Niaje - Mandojo,Domokaya ft. Nature
Dingi- Mandojo ft Domokaya
Trafiki - Wagosi wa Kaya
Mtazamo - Solo thang, Prof Jay ft. Afande sele
Mkasa wa boss - Ferouz ft Solo Thang
Barua- Daz Nundaz
Safari - Ferouz
Kamua baba - GWM
Machoni kama watu - AY ft. Jaydee
Inategemea na mtu - AY
Bado Nipo nipo - Mwana FA
Alikufa kwa ngoma - Mwana Fa
Jukumu letu - Mwana FA ft Prof Jay
Umri - TMK
Brotherman - Juma Nature
Ya leo kali - GWM
Hatuna Kitu - Rich One ft. Nature
Sijutii - Joh Makini
Msela - Ngwair ft. Juma nature
Bongo dsm - Prof Jay ft. Lady Jaydee
Nikusaidiaje - Prof Jay
Nangatuka- Prof Jay
Tshirt na Jeans - University Corner
Nipo bize - jafarai ft. Daz baba
Namba 8 - Fid Q ft. Daz baba
Wife - Ngwair ft. Daz baba
Ugali - Sir Nature
Naomba unipende kama nilivyo mi mselaaa, usiniacheee!! -- Hii alieimba simjui ila bonge la pini nalo.

Zipo nyingi sana yani hizo baadhi tu.
List imesimama mkuu

Huo wimbo kuimba, Chelea man - usiniache

Kwenye list yako ongeza,

Tathmini - Profesa Jay

Chemsha Bongo - Profesa Jay

Nyimbo zote za Mike tee
 
Hiv kipind hiko Mb Dog na Matonya walitifua sana! Mbona hata hit songz zao hakuna yaan Latifa na Vaileth!?
 
Mbele kwa mbele - Dj Yusuph
Mtoto wa kiume - Geez mabovu
Nilipotoka - Geez Mabovu ft. Joh makini
Mimi - Fid Q, Geez Mabovu, JayMoe
Cheza kwa step - Jaymoe ft. Ngwair
Ghetto langu - Ngwair
Speed 120 - Ngwair ft. Chid Benz
Umenisoma - Chid Benz
Hao - Joh Makini
Ndo zetu kuwakilisha - Nako 2 Nako
Mchizi wangu - Nako 2 Nako
Niaje - Mandojo,Domokaya ft. Nature
Dingi- Mandojo ft Domokaya
Trafiki - Wagosi wa Kaya
Mtazamo - Solo thang, Prof Jay ft. Afande sele
Mkasa wa boss - Ferouz ft Solo Thang
Barua- Daz Nundaz
Safari - Ferouz
Kamua baba - GWM
Machoni kama watu - AY ft. Jaydee
Inategemea na mtu - AY
Bado Nipo nipo - Mwana FA
Alikufa kwa ngoma - Mwana Fa
Jukumu letu - Mwana FA ft Prof Jay
Umri - TMK
Brotherman - Juma Nature
Ya leo kali - GWM
Hatuna Kitu - Rich One ft. Nature
Sijutii - Joh Makini
Msela - Ngwair ft. Juma nature
Bongo dsm - Prof Jay ft. Lady Jaydee
Nikusaidiaje - Prof Jay
Nangatuka- Prof Jay
Tshirt na Jeans - University Corner
Nipo bize - jafarai ft. Daz baba
Namba 8 - Fid Q ft. Daz baba
Wife - Ngwair ft. Daz baba
Ugali - Sir Nature
Naomba unipende kama nilivyo mi mselaaa, usiniacheee!! -- Hii alieimba simjui ila bonge la pini nalo.

Zipo nyingi sana yani hizo baadhi tu.
Number 8 ni nyimbo ya daz baba sio fid q
Wife ni nyimbo ya daz baba sio ngwair
 
1 Planet 2000- bab kubwa
1782142317141.png
 
15. Dar-Es-Salaam stand up -chid benz
14.Anakuja - Sister P
13. Hayakuhusu - Rah P
12. Stimu zimelipiwa -Joh makini
11. Bila sanaa -Imamu Abbas ft Juma nature.
9. Ni hayo tu - Fid q
10. Wauguzi -Wagosi wa kaya
9. Propaganda -Fid Q
8. Mchizi wangu remix.
7. Ukisikia paa remix - Jcb ft Jay moe & Fid q
6. Mtazamo - Afande ft sollo & prof J
5. Mwanza - Fid Q
4. Ndiyo mzee & Kikao cha dharura -Prof J.
3. I'm Proffesional - Fid Q
2. Alikufa kwa Ngoma - Mwana FA
1. Darubini -Afande selle.

Nyimbo nyingine 5 za bonus ni;

Maisha ya boarding - Jay mo
Binti mlokole - Suma G
Asali wa moyo -Inspector Haroun
Kighetogheto -Juma nature
Mkuki moyoni -Afande selle

Vigezo nilivyotumia ni
. Ujumbe wake ulivyopokelewa katika jamii
. Durability
. Flow
. Production ( vocal, mixing and mastering)
. Upekee wa wazo (idea)
. Zikipigwa leo club lazima watu waamke.
Nimeshangaa sana kwamba HAWATUWEZI ya Nako2Nako haipo..
 
Back
Top Bottom