Hiyo mkuu kabla ya 2004 aiseee inabidi iwekwe maana "akianza kula wa kwanza kuchukua nyama"Kwani mzee wa busara ilikuwa kipindi gani?
Dude tamu sana hili
Stimu zimelipiwaChagua ipi kati ya hizo 15 ipishe iiachie nicheki ya o-ten??
Unaichukulia poa stimu eeeehStimu zimelipiwa
Kabisa yaniNoma sana. ..Jamaa apitie upya
Kwaiyi hip hop huwa hawaumbi?Ni ngoma za Hip hop pekee. Usilete za kuimba
Noooo ila nicheki ya o ten ni kali zaidUnaichukulia poa stimu eeeeh