Nyimbo 15 bora za HIP HOP kati ya 2000 na 2010

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,089
15. Dar-Es-Salaam stand up -chid benz
14.Anakuja - Sister P
13. Hayakuhusu - Rah P
12. Stimu zimelipiwa -Joh makini
11. Bila sanaa -Imamu Abbas ft Juma nature.
9. Ni hayo tu - Fid q
10. Wauguzi -Wagosi wa kaya
9. Propaganda -Fid Q
8. Mchizi wangu remix.
7. Ukisikia paa remix - Jcb ft Jay moe & Fid q
6. Mtazamo - Afande ft sollo & prof J
5. Mwanza - Fid Q
4. Ndiyo mzee & Kikao cha dharura -Prof J.
3. I'm Proffesional - Fid Q
2. Alikufa kwa Ngoma - Mwana FA
1. Darubini -Afande selle.

Nyimbo nyingine 5 za bonus ni;

Maisha ya boarding - Jay mo
Binti mlokole - Suma G
Asali wa moyo -Inspector Haroun
Kighetogheto -Juma nature
Mkuki moyoni -Afande selle

Vigezo nilivyotumia ni
. Ujumbe wake ulivyopokelewa katika jamii
. Durability
. Flow
. Production ( vocal, mixing and mastering)
. Upekee wa wazo (idea)
. Zikipigwa leo club lazima watu waamke.
 
Hivi kweli wewe Kanali unawezaji kuweka maisha ya boarding substitute?
Halafu ile Jirushe ya kina Ferooz unaiweka wapi?
Hayo masihara yani sister P anaweza wapiga bao akina Mandonjo!?
Nimesikitika sana kuona WANOK NOK Hajaiweka halafu anaweka kina UKISIKIA PAAA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom