Nyimbo 15 bora za HIP HOP kati ya 2000 na 2010

Nyimbo 15 bora za HIP HOP kati ya 2000 na 2010

Hawatuwezi - Nako 2 Nako
Hayakua Mapenzi - Sugu
Hao-Joh Makini
Right here - G Nako ft Chindo
Mtoto wa kiume-Geez Mabovu
Pigia Mstari - Rado
Jukumu letu - Prof Jay ft Mwana FA
Famous-Jay moe ft P funk
Walimu - Wagosi wa Kaya
Maneno mbofu mbofu - Mr Ebbo
Siku Nzuri - Dan Msimamo
Nini Mnataka - Pig Black
Nini Dhambi-Faza Nelly
Nakupenda Hip Hop - Roho 7
Kisa cha Baba Mkwe - Inspekta Haroun
Kamua - GWM
Wanok nok-Mandojo na Domokaya ft Jay dee
Nizikwe Hai - Mandojo na Domokaya
Mzee wa busara - Inspekta Haroun na Kiroboto
Mbele kwa mbele-dj yusuph
Sugu moto chini-Mr ii
Style tatu - Stopa

Etc
 
15. Dar-Es-Salaam stand up -chid benz
14.Anakuja - Sister P
13. Hayakuhusu - Rah P
12. Stimu zimelipiwa -Joh makini
11. Bila sanaa -Imamu Abbas ft Juma nature.
9. Ni hayo tu - Fid q
10. Wauguzi -Wagosi wa kaya
9. Propaganda -Fid Q
8. Mchizi wangu remix.
7. Ukisikia paa remix - Jcb ft Jay moe & Fid q
6. Mtazamo - Afande ft sollo & prof J
5. Mwanza - Fid Q
4. Ndiyo mzee & Kikao cha dharura -Prof J.
3. I'm Proffesional - Fid Q
2. Alikufa kwa Ngoma - Mwana FA
1. Darubini -Afande selle.

Nyimbo nyingine 5 za bonus ni;

Maisha ya boarding - Jay mo
Binti mlokole - Suma G
Asali wa moyo -Inspector Haroun
Kighetogheto -Juma nature
Mkuki moyoni -Afande selle

Vigezo nilivyotumia ni
. Ujumbe wake ulivyopokelewa katika jamii
. Durability
. Flow
. Production ( vocal, mixing and mastering)
. Upekee wa wazo (idea)
. Zikipigwa leo club lazima watu waamke.
Ziknaweza kua ni nyimbo nzuri kweli,
Ila sina uhakika kama ni za Hip Hop
 
Ziknaweza kua ni nyimbo nzuri kweli,
Ila sina uhakika kama ni za Hip Hop
Nimeshangaa hata Mstari wa Mbele ya Kalapina haipo, angesema nyimbo nzuri tu lakini sio kusema za Hiphop
 
Mleta uzi umemsahau Gwea jamani. Huyu jamaa alikua Fundi kama Ronaldinho vile. Mpe biti yoyote hata ya Laizer anaflow tu. Sileti utim flani hapa, ila washabiki Maandazi watambue kwamba Bwana Harusi alikuwepo kipindi cha 2000 - 2010 namaanisha kuanzia 2005 kuja juu ila alishindwa kufurukuta kwa vichwa vingi vilivyotajwa hapo hadi akaamua aache kuimba arudi Madrasat. Ila leo kutwa kumfananisha na Mond tu Mtu ambaye hata Ben paul hamfikii.

Wewe kweli mwehu, nakshi nakshi, mac muga zaidi yako, ulikuwa unafananisha na ngoma gani kipindi kile
 
Fani katika maisha...by mzimu ft q chillah
Nini mnataka mazee pig black
 
Hawatuwezi - Nako 2 Nako
Hayakua Mapenzi - Sugu
Hao-Joh Makini
Right here - G Nako ft Chindo
Mtoto wa kiume-Geez Mabovu
Pigia Mstari - Rado
Jukumu letu - Prof Jay ft Mwana FA
Famous-Jay moe ft P funk
Walimu - Wagosi wa Kaya
Maneno mbofu mbofu - Mr Ebbo
Siku Nzuri - Dan Msimamo
Nini Mnataka - Pig Black
Nini Dhambi-Faza Nelly
Nakupenda Hip Hop - Roho 7
Kisa cha Baba Mkwe - Inspekta Haroun
Kamua - GWM
Wanok nok-Mandojo na Domokaya ft Jay dee
Nizikwe Hai - Mandojo na Domokaya
Mzee wa busara - Inspekta Haroun na Kiroboto
Mbele kwa mbele-dj yusuph
Sugu moto chini-Mr ii
Style tatu - Stopa

Etc
Wewe unaujua muziki mzuri,salute kwao
 
Hawatuwezi - Nako 2 Nako
Hayakua Mapenzi - Sugu
Hao-Joh Makini
Right here - G Nako ft Chindo
Mtoto wa kiume-Geez Mabovu
Pigia Mstari - Rado
Jukumu letu - Prof Jay ft Mwana FA
Famous-Jay moe ft P funk
Walimu - Wagosi wa Kaya
Maneno mbofu mbofu - Mr Ebbo
Siku Nzuri - Dan Msimamo
Nini Mnataka - Pig Black
Nini Dhambi-Faza Nelly
Nakupenda Hip Hop - Roho 7
Kisa cha Baba Mkwe - Inspekta Haroun
Kamua - GWM
Wanok nok-Mandojo na Domokaya ft Jay dee
Nizikwe Hai - Mandojo na Domokaya
Mzee wa busara - Inspekta Haroun na Kiroboto
Mbele kwa mbele-dj yusuph
Sugu moto chini-Mr ii
Style tatu - Stopa

Etc
Ebana umetisha bro iyo list ni murder tupu...hii kwel conscious
 
sasa wagosi nao wanaimba hip hop!? Chukua nyimbo zote za WATENGWA na NAKO 2 NAKO weka hapo kisha zingine zifuate!
 
Ila mme wagusa masela kibao lakini huyu mwamba nae msi muweke kando.
Mike T. Mnyalu huyu hatrariii
 
Back
Top Bottom